Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YAFUFUA MATUMAINI YA UBINGWA ENGLAND

[ATTACH=full]319[/ATTACH]

WENYEJI, Liverpool wamefufua matumaini ya ubingwa baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumapili Uwanja wa at Anfield.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Fabinho dakika ya 44, Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 69 na Takumi Minamino dakika ya 77 na kwa ushindi huo kikosi cha Jurgen Klopp kinafikisha pointi 45 katika mchezo wa 21, kikizidiwa pointi 11 na mabingwa watetezi, Manchester City ambao pia wamecheza mechi moja zaidi.

Brentford yenyewe inabaki na pointi zake 23 za mechi 21 katika nafasi ya 14.

[QUOTE="Amir, post: 405, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YAFUFUA MATUMAINI YA UBINGWA ENGLAND[/HEADING] [ATTACH type="full"]319[/ATTACH] WENYEJI, Liverpool wamefufua matumaini ya ubingwa baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumapili Uwanja wa at Anfield. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Fabinho dakika ya 44, Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 69 na Takumi Minamino dakika ya 77 na kwa ushindi huo kikosi cha Jurgen Klopp kinafikisha pointi 45 katika mchezo wa 21, kikizidiwa pointi 11 na mabingwa watetezi, Manchester City ambao pia wamecheza mechi moja zaidi. Brentford yenyewe inabaki na pointi zake 23 za mechi 21 katika nafasi ya 14. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom