Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YAITANDIKA CRYSTAL PALACE 3-1 SELHURST PARK.

TIMU ya Liverpool imewachapa wenyeji, Crystal Palace mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumapili Uwanja wa Selhurst Park Jijini London.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Virgil van Dijk dakika ya 18, Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 32 na Fabinho kwa penalti dakika ya 89, wakati la Crystal Palace limefungwa na Odsonne Edouard dakika ya 55.

Liverpool inafikisha pointi 48 katika mchezo wa 22, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tisa na Manchester City ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati Crystal Palace inabaki na pointi zake 24 za mechi 22 katika nafasi ya 13.

[QUOTE="Amir, post: 517, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YAITANDIKA CRYSTAL PALACE 3-1 SELHURST PARK.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiXCRGkM9l4ngnwtoCjIj7umlraU_zmAsf80ljPNR2JhxWL5r8yeOCHWfJ3q0ntyweOhqMjeOQpe-7iNqyl6GxHuDz5kWDBjnoIjkCfGvHTTocH6ClAjrw4VKiiZDhpkrG-1SpjRp4EO1daQPo4VCVrc6ozx_0m1qK68mJ61OKAHRiu_lTdcI8KuU8r=w640-h378[/IMG] TIMU ya Liverpool imewachapa wenyeji, Crystal Palace mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumapili Uwanja wa Selhurst Park Jijini London. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Virgil van Dijk dakika ya 18, Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 32 na Fabinho kwa penalti dakika ya 89, wakati la Crystal Palace limefungwa na Odsonne Edouard dakika ya 55. Liverpool inafikisha pointi 48 katika mchezo wa 22, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tisa na Manchester City ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati Crystal Palace inabaki na pointi zake 24 za mechi 22 katika nafasi ya 13. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom