Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sadio Mane, Mo Salah Kufanya Kikao na Klopp.

Nahodha wa timu ya Misri, Mohammed Salah anataraji kujiunga na klabu yake ya Liverpool leo Februari 8, 2022 na kuna uwezekano mkubwa wa kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwenye mchezo wa EPL dhidi ya Leicester City Alhamis ya Februari 10, 2022.

Kwa Upande mwingiine, Nahodha wa Senegal, Sadio Mane ambaye ametwaa ubingwa wa AFCON naye anatarajiwa kurejea klabuni hapo Jumatano au ya Alhamis wiki hii kukutana na mshambuliaji mwenzake Mohammed Salah ambaye alicheza walikuwa wapinzani kwenye fainali ya AFCON Februari 7, 2022 Nchini Cameroon.

Naye Kocha mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp aliweka wazi kuwa ataongea na wachezaji hao pindi watakaporejea baada ya kumalizika michuano ya AFCON ili kuwasahaulisha yaliyojiri katika kombe la mataifa ya Africa walipokua wapinznai hasa kwenye mchezo wa fainali ambapo Mohammed Salah alionekana kuumia sanaa baada ya kukosa ubingwa huo.

Kipindi ambacho Mane na Salah walikua kwenye majukumu ya timu zao za taifa katika michuano ya AFCON, Liverpool ilicheza michezo sita kwenye michuano yote na wameshinda michezo yote ikiwemo michezo miwili ya ligi kuu ya England na pamoja na michezo miwili ya nusu fainali ya kombe la carabao dhidi ya Arsenal.

[QUOTE="Amir, post: 815, member: 20"] [HEADING=1]Sadio Mane, Mo Salah Kufanya Kikao na Klopp.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/klopp-salah.jpg[/IMG] Nahodha wa timu ya Misri, Mohammed Salah anataraji kujiunga na klabu yake ya Liverpool leo Februari 8, 2022 na kuna uwezekano mkubwa wa kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwenye mchezo wa EPL dhidi ya Leicester City Alhamis ya Februari 10, 2022. Kwa Upande mwingiine, Nahodha wa Senegal, Sadio Mane ambaye ametwaa ubingwa wa AFCON naye anatarajiwa kurejea klabuni hapo Jumatano au ya Alhamis wiki hii kukutana na mshambuliaji mwenzake Mohammed Salah ambaye alicheza walikuwa wapinzani kwenye fainali ya AFCON Februari 7, 2022 Nchini Cameroon. Naye Kocha mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp aliweka wazi kuwa ataongea na wachezaji hao pindi watakaporejea baada ya kumalizika michuano ya AFCON ili kuwasahaulisha yaliyojiri katika kombe la mataifa ya Africa walipokua wapinznai hasa kwenye mchezo wa fainali ambapo Mohammed Salah alionekana kuumia sanaa baada ya kukosa ubingwa huo. Kipindi ambacho Mane na Salah walikua kwenye majukumu ya timu zao za taifa katika michuano ya AFCON, Liverpool ilicheza michezo sita kwenye michuano yote na wameshinda michezo yote ikiwemo michezo miwili ya ligi kuu ya England na pamoja na michezo miwili ya nusu fainali ya kombe la carabao dhidi ya Arsenal. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom