Luis de la Fuente amesajiliwa kama kocha mkuu wa Spain

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Luis de la Fuente amesajiliwa kama kocha mkuu wa Uhispania! (Spain) Meneja wa U21 sasa anakuwa kocha mkuu wa mradi wa Uhispania kuchukua nafasi ya Luis Enrique.

De la Fuente na Shirikisho la Uhispania wamekamilisha makubaliano leo.
FjdH-8uaEAAasUn.jpeg
 
  • Like
Reactions: UnclRugaRafiki