Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Lwandamina atimuliwa Azam
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

UONGOZI wa klabu ya Azam Fc umewatimua kazi benchi zima la klabu hiyo baada ya kutoka sare 0-0 dhidi ya Kagera Sugar mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa Chamazi.

Benchi la Azam linaongozwa na kocha mkuu George Lwandamina na msaidizi wake Bahati Vivier.

Mwanaspoti baada ya kuzipata taarifa hizo lilimtafuta Lwandamina na alikiri kupokea taarifa hizo huku akiweka wazi yupo njiani kwenda kuonana na mabosi wake.

"Nimepokea taarifa hiyo lakini naenda kuonana na viongozi wa klabu, ni maisha yetu ya mpira," amesema Lwandamina.

Kocha huyo mwezi uliopita alitoka kuongezewa mwaka mmoja wa kuendelea kuiongoza timu hiyo lakini mabosi wake wameamua kuuvunja mkataba huo.

Azam mpaka sasa wanashika nafasi ya saba wakiwa na pointi 11 waishinda mechi tatu, sare mbili na kupoteza mechi tatu.

[ATTACH=full]19[/ATTACH]

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 69, member: 7"] UONGOZI wa klabu ya Azam Fc umewatimua kazi benchi zima la klabu hiyo baada ya kutoka sare 0-0 dhidi ya Kagera Sugar mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa Chamazi. Benchi la Azam linaongozwa na kocha mkuu George Lwandamina na msaidizi wake Bahati Vivier. Mwanaspoti baada ya kuzipata taarifa hizo lilimtafuta Lwandamina na alikiri kupokea taarifa hizo huku akiweka wazi yupo njiani kwenda kuonana na mabosi wake. "Nimepokea taarifa hiyo lakini naenda kuonana na viongozi wa klabu, ni maisha yetu ya mpira," amesema Lwandamina. Kocha huyo mwezi uliopita alitoka kuongezewa mwaka mmoja wa kuendelea kuiongoza timu hiyo lakini mabosi wake wameamua kuuvunja mkataba huo. Azam mpaka sasa wanashika nafasi ya saba wakiwa na pointi 11 waishinda mechi tatu, sare mbili na kupoteza mechi tatu. [ATTACH type="full"]19[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Lwandamina atimuliwa Azam
Top
Bottom