Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
Madalali wa soko la hisa la Dar es Salaam
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Madalali wa soko la hisa kwa sasa idadi yao ni 6 na wote wapo Dar es Salaam. Lakini, kutokana na kukua kwa teknologia na utumiaji wa mawakala, wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali za nchi wanaweza kupata huduma ya madalali bila kulazimika kuja Dar es Salaam. Ni kweli wawekezaji walio nje ya Dar es Salaam wanawekeza kwa gharama kubwa zaidi ukilinganisha na wenzao walio Dar es Salaam kutokana na muda, gharama za posta, gharama za kutuma au kutumiwa fedha n.k. Juhudi zinafanyika ili kuweza kuwafikishia Watanzania huduma hii kulingana na upatikanaji wa biashara na kukua kwa teknolojia kwa sababu kampuni za udalali zinaendeshwa kwa misingi ya kibiashara.

Kwa nini tunahitaji madalali ili kununua au kuuza hisa?

Kila soko lina taratibu zake, masoko ya mitaji yanahusisha fedha nyingi hivyo ni vyema kuweka taratibu zinazohakikisha uwazi na haki. Madalali hawa ni wataalam katika masoko haya. Wanasaidia kuuza na kununua hisa pamoja na kutoa elimu kwa wawekezaji. Kwa ufupi kuwepo kwa madalali kunawezesha kuwepo na utaratibu na mpangilio mzuri wa mnada na kunapunguza uwezekano wa vitendo vya udanganyifu ambavyo vingeweza kufanywa na wajanja wachache kama kila mtu angeruhusiwa kwenda moja kwa moja kwenye soko la hisa.

Baadhi ya Madalali na wachuuzi wa hisa ni :

1. Rasilimali Ltd. Jengo la zamani la TACOSHIL Sokoine Drive, DSM Simu: +255 22 211 1708 Faksi: +255 22 212 2883 Barua pepe: rasilimali@africaonline.co.tz

2. Tanzania Securities Ltd. Ghorofa ya 7, IPS Building Mtaa wa Samora na Azikiwe, DSM Simu: +255 22 211 2807 Faksi: +255 22 211 2809 Barua pepe: tsl@muchs.ac.tz

3. Solomon Stock Brokers Ltd. Ghorofa ya chini, PPF House Mtaa wa Samora na Morogoro, DSM Simu: +255 22 211 2874 Faksi: +255 22 213 1969 Barua pepe: solomon@intafrica.com

4. Vertex International Securities Ltd. Jengo la Annex – Zambia High Commission Mtaa wa Sokoine na Ohio, DSM Simu: +255 22 211 0392 Faksi: +255 22 211 0387 Barua pepe: vertex@intafrica.com

5. Orbit Securities Co. Ltd. Ghorofa ya 3, Twiga House Mtaa wa Samora, DSM Simu: +255 22 211 1758 Faksi: +255 22 211 3067 Barua pepe: orbit@orbit.co.tz

6. Core Securities Co. Ltd. Ghorofa ya chini, Twiga House Mtaa wa Samora, DSM Tel: +255 22 2123103 Fax: +255 22 2182521 Email: info”@coresecurities.co.tz

Tafadhali ongeza madalali wengine na mawasiliano yao

[QUOTE="tototundu, post: 19, member: 1"] Madalali wa soko la hisa kwa sasa idadi yao ni 6 na wote wapo Dar es Salaam. Lakini, kutokana na kukua kwa teknologia na utumiaji wa mawakala, wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali za nchi wanaweza kupata huduma ya madalali bila kulazimika kuja Dar es Salaam. Ni kweli wawekezaji walio nje ya Dar es Salaam wanawekeza kwa gharama kubwa zaidi ukilinganisha na wenzao walio Dar es Salaam kutokana na muda, gharama za posta, gharama za kutuma au kutumiwa fedha n.k. Juhudi zinafanyika ili kuweza kuwafikishia Watanzania huduma hii kulingana na upatikanaji wa biashara na kukua kwa teknolojia kwa sababu kampuni za udalali zinaendeshwa kwa misingi ya kibiashara. [B]Kwa nini tunahitaji madalali ili kununua au kuuza hisa? [/B] Kila soko lina taratibu zake, masoko ya mitaji yanahusisha fedha nyingi hivyo ni vyema kuweka taratibu zinazohakikisha uwazi na haki. Madalali hawa ni wataalam katika masoko haya. Wanasaidia kuuza na kununua hisa pamoja na kutoa elimu kwa wawekezaji. Kwa ufupi kuwepo kwa madalali kunawezesha kuwepo na utaratibu na mpangilio mzuri wa mnada na kunapunguza uwezekano wa vitendo vya udanganyifu ambavyo vingeweza kufanywa na wajanja wachache kama kila mtu angeruhusiwa kwenda moja kwa moja kwenye soko la hisa. Baadhi ya Madalali na wachuuzi wa hisa ni : 1. Rasilimali Ltd. Jengo la zamani la TACOSHIL Sokoine Drive, DSM Simu: +255 22 211 1708 Faksi: +255 22 212 2883 Barua pepe: [EMAIL]rasilimali@africaonline.co.tz[/EMAIL] 2. Tanzania Securities Ltd. Ghorofa ya 7, IPS Building Mtaa wa Samora na Azikiwe, DSM Simu: +255 22 211 2807 Faksi: +255 22 211 2809 Barua pepe: [EMAIL]tsl@muchs.ac.tz[/EMAIL] 3. Solomon Stock Brokers Ltd. Ghorofa ya chini, PPF House Mtaa wa Samora na Morogoro, DSM Simu: +255 22 211 2874 Faksi: +255 22 213 1969 Barua pepe: [EMAIL]solomon@intafrica.com[/EMAIL] 4. Vertex International Securities Ltd. Jengo la Annex – Zambia High Commission Mtaa wa Sokoine na Ohio, DSM Simu: +255 22 211 0392 Faksi: +255 22 211 0387 Barua pepe: [EMAIL]vertex@intafrica.com[/EMAIL] 5. Orbit Securities Co. Ltd. Ghorofa ya 3, Twiga House Mtaa wa Samora, DSM Simu: +255 22 211 1758 Faksi: +255 22 211 3067 Barua pepe: [EMAIL]orbit@orbit.co.tz[/EMAIL] 6. Core Securities Co. Ltd. Ghorofa ya chini, Twiga House Mtaa wa Samora, DSM Tel: +255 22 2123103 Fax: +255 22 2182521 Email: info”@coresecurities.co.tz Tafadhali ongeza madalali wengine na mawasiliano yao [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
Madalali wa soko la hisa la Dar es Salaam
Top
Bottom