Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Madrid Huu msimu let’s just count it as a loss ili tufanye signings za maana Msimu ujao
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

The faster we learn to move on from these two the better. Huu msimu let’s just count it as a loss ili tufanye signings za maana Carlo juzi hakukosea kupanga kikosi wala simlaumu ishu ni kwamba majority ya wachezaji wetu hawapo at their best sa hv.

They are below average Fede,Tchouameni,Asensio,Nacho,Carvajal,hawapo kwenye kiwango sa hivi. Ceballos juzi kakosa msaada pale kati, Camavinga was doing his best LB ila anakosa msaada akipanda

Vini kama kawaida yake anapelekewa mipira mingi ila ndo hvyo end product hakuna anakimbia kwenye msitu wa watu, Bora akiwepo Benzema Atleast anaogopa anakua anamtafutia

Rodrygo as 9 tunadanganyana He can’t ni kumpa mzigo asiostahili Kwa ile 11 ya jana only 3 players tried showing kwamba wanatetea jezi, Camavinga, Rudiger na Ceballos. Wengine hakuna kitu

Kipindi cha Pili unaingiza Kroos na Modric Tchouameni na Fede wakatoka atleast tukaanza kucontrol possession Lakina sasa kua na possession na kuwapatia forwards ambao wanaishia kupotezea hizi possession ni ufala kutwanga maji kwenye kinu sijui.

So Carlo akaingiza Mariano na Manywele yake hoping kwamba tuanze piga cross labda atapatia moja iingie lakini zile nywele zake mipira inaenda nje tu Kumalizia, we lack squad depth Key players wasipokua on form we are finished.

[ATTACH=full]1166[/ATTACH]

[QUOTE="jamal, post: 3208, member: 471"] The faster we learn to move on from these two the better. Huu msimu let’s just count it as a loss ili tufanye signings za maana Carlo juzi hakukosea kupanga kikosi wala simlaumu ishu ni kwamba majority ya wachezaji wetu hawapo at their best sa hv. They are below average Fede,Tchouameni,Asensio,Nacho,Carvajal,hawapo kwenye kiwango sa hivi. Ceballos juzi kakosa msaada pale kati, Camavinga was doing his best LB ila anakosa msaada akipanda Vini kama kawaida yake anapelekewa mipira mingi ila ndo hvyo end product hakuna anakimbia kwenye msitu wa watu, Bora akiwepo Benzema Atleast anaogopa anakua anamtafutia Rodrygo as 9 tunadanganyana He can’t ni kumpa mzigo asiostahili Kwa ile 11 ya jana only 3 players tried showing kwamba wanatetea jezi, Camavinga, Rudiger na Ceballos. Wengine hakuna kitu Kipindi cha Pili unaingiza Kroos na Modric Tchouameni na Fede wakatoka atleast tukaanza kucontrol possession Lakina sasa kua na possession na kuwapatia forwards ambao wanaishia kupotezea hizi possession ni ufala kutwanga maji kwenye kinu sijui. So Carlo akaingiza Mariano na Manywele yake hoping kwamba tuanze piga cross labda atapatia moja iingie lakini zile nywele zake mipira inaenda nje tu Kumalizia, we lack squad depth Key players wasipokua on form we are finished. [ATTACH type="full"]1166[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Madrid Huu msimu let’s just count it as a loss ili tufanye signings za maana Msimu ujao
Top
Bottom