Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Madrid tunaelekea Champions ligi kwa hali hii tuliyo nayo sasa?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Casemiro alikua kiungo wangu pendwa sana ila he had one best quality kuzuia tu, mengine ilikua ni changamoto, many times alikua anapiga mapass mikaa tunashindwa kutoka kwenye backyard yetu tukibanwa now tuna Tcho ambae anapiga pass nzuri he is calm na ana miaka 22 something ambayo Case hakua nayo ata that time na hajawahi kua nayo!!na kwanza msimu aujaisha we made a good deal

Hii timu wazee waende tuache mambo ya Kina Try again na kina Hersi wabongo..

Modric na Kroos awa wanasababisha tubaki pale pale tucheze mfumo ule ule sababu uwezo wao ndio umeishia pale kwa sasa!!

Benzema 2024 iwe basi akwende nae tufind janja lingine

tukianza na awa kutakua na changes nyingi na positive!!

Ukikaa ukawaza watu walitoa hela kwa Raphinha ambae mwaka huu ana miaka 27 anatimiza unamshukuru Mungu Perez kwa kusajili Rodrygo na Vini

Siku hizi unatoa €50m or more alafu wanakuambia muda bado ataimprove serious miaka 25+??

Mambo yatachange tukishatoa mafaza maana ata kocha akija atakutana na machalii ambao anaweza bend mifumo fresh tu bila maswali mtu atengeneze timu upya! vijana tunao vizuri tu ila tumestuck sana na limfumo la 4-3-3 yaani ata kama eti mtu kaumia wa kucheza Dm bado kocha anaforce 4-3-3

[QUOTE="jamal, post: 3006, member: 471"] Casemiro alikua kiungo wangu pendwa sana ila he had one best quality kuzuia tu, mengine ilikua ni changamoto, many times alikua anapiga mapass mikaa tunashindwa kutoka kwenye backyard yetu tukibanwa now tuna Tcho ambae anapiga pass nzuri he is calm na ana miaka 22 something ambayo Case hakua nayo ata that time na hajawahi kua nayo!!na kwanza msimu aujaisha we made a good deal Hii timu wazee waende tuache mambo ya Kina Try again na kina Hersi wabongo.. Modric na Kroos awa wanasababisha tubaki pale pale tucheze mfumo ule ule sababu uwezo wao ndio umeishia pale kwa sasa!! Benzema 2024 iwe basi akwende nae tufind janja lingine tukianza na awa kutakua na changes nyingi na positive!! Ukikaa ukawaza watu walitoa hela kwa Raphinha ambae mwaka huu ana miaka 27 anatimiza unamshukuru Mungu Perez kwa kusajili Rodrygo na Vini Siku hizi unatoa €50m or more alafu wanakuambia muda bado ataimprove serious miaka 25+?? 😂😂 Mambo yatachange tukishatoa mafaza maana ata kocha akija atakutana na machalii ambao anaweza bend mifumo fresh tu bila maswali mtu atengeneze timu upya! vijana tunao vizuri tu ila tumestuck sana na limfumo la 4-3-3 yaani ata kama eti mtu kaumia wa kucheza Dm bado kocha anaforce 4-3-3 😂😂 [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Madrid tunaelekea Champions ligi kwa hali hii tuliyo nayo sasa?
Top
Bottom