MAKATA ATUA RUVU SHOOTING

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imetangaza kuingia mkataba wa mwaka mmoja kocha Mbwana Makata akirithi mikoba ya kocha Charles Boniface Mkwasa ambaye alitangaza kujiuzulu jana Jumatatu. Makata atasaidiwa na kocha Renatus Shija. 4329b3b1-0beb-438a-9418-a7b9485b87a8.jpg