Mambo Ya Madai Ya FIFA Yanatuharibia Sana YANGA

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Anaandika SHABIKI WA YANGA ambae mtandaoni anajiita @1960Remija
"Taasisi kubwa na yenye mafanikio kama Yanga kwa sasa haya mambo ya madai kutoka FIFA yanatuharibia sana, nadhani kuna shida kwenye kuachana na wachezaji + makubaliano ya kuvunja mikataba. Hatukatai hakuna klabu isiyodaiwa, mbona ni sisi always? Tunashindwa hata kuwatetea sasa."

Una Lipi La KUSEMA MWANA KIJIWENI?
 
Jamilu Jamali

Mpiga Chabo
Aug 21, 2024
2
0

100%📌
 
pol142

Mpiga Chabo
Aug 21, 2024
1
0
0
kwa mtazamo wangu engineer kafaulu upande wa matokeo ila upande wa management na usimamizi wa hesabu na sheriabado anafeli sana,, mwanasheria nazan anatakiwa abadilishwe sasa na wapate timu makini ya wahasibu wakucheza na hesabu,
 
NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
26
7
5
Mimi naona inatakiwa wawe viongozi wanaongea na wachezaji kabra ya kuachana nao ili kuepusha makosa ya mara kwa mara na fifa
 
Ahmadi maarufu

Mpiga Chabo
Aug 21, 2024
3
0
0
Anaandika SHABIKI WA YANGA ambae mtandaoni anajiita @1960Remija
"Taasisi kubwa na yenye mafanikio kama Yanga kwa sasa haya mambo ya madai kutoka FIFA yanatuharibia sana, nadhani kuna shida kwenye kuachana na wachezaji + makubaliano ya kuvunja mikataba. Hatukatai hakuna klabu isiyodaiwa, mbona ni sisi always? Tunashindwa hata kuwatetea sasa."

Una Lipi La KUSEMA MWANA KIJIWENI?
Yanga haijawahi kuwa makini daima kila wanapojenda wanashindwa kuimalisha ujenzi ili jambo litawaathili sana.
 
VMB

Mpiga Chabo
Aug 21, 2024
1
0
0
Team nyingi zinadaiwa Sema bongo tunajuaga kupost mambo mabaya yanayozungumzia team flani kuliko mazuri