Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Man United imebadilika sana na inaenda kua tishio sasa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Watu kila wakitaka kusema Barcelona ni ya kawaida, Wakikumbuka kwamba inaongoza ligi mbele ya Madrid kwa zaidi ya point 8 wanakaa kimya

Niliwaambia kwangu Mimi Pair ya Martinez na Varane ni imara zaidi ya duo zingine

Yule mtoto Ganacho anatia hasira mpaka Busquet akaamua Bora ampige kibao kata mdomoni maana alishadhalilishwa

Jana niliangalia match second half Man Unt wanacheza ball bhana acheni mchezo. Huyo Fredy Ndio balaa, Casemiro na Butcher ni Killer Players wa Kimyakimya wanaweza wakakuumiza na ukapewa kadi wewe.

Le Bruno ni mchezaji mwenye kutumia Akili nyingi, sub ya Weghorst kauingia Antony na akabadili game na akascore

Unajua Man utd shida yetu miaka yote hiyo ilkuwa ni kocha tu Gardiola aliwahi kusema apewe wachezaji hao hao utaona shughuli yake asa tumepata mtu sahihi

Man united walikuwa aggressive,sharp,hunger....sub ya Antony imetupa matokeo credits kwa ETH...Heading to the final on Sunday Finger crossed Rashford asiwe kaumia sana

Tusema ukweli, Man United wamepata kocha safari hii.

Wamesota sana kutafuta mbadala la Sir Alex Ferguson ila safari hii kuna matumaini ya kurejesha heshima waliyoipoteza kwa miaka 10.

Yaani sasa hivi changamoto iliyopo kuna baadhi ya wachezaji wanacheza below per average, wanatakiwa Ku pull up their socks kidogo, kila mchezaji kila mechi akicheza kwa kiwango tarajiwa tutakuwa eneo salama.

[ATTACH=full]1282[/ATTACH]

[QUOTE="jamal, post: 3440, member: 471"] Watu kila wakitaka kusema Barcelona ni ya kawaida, Wakikumbuka kwamba inaongoza ligi mbele ya Madrid kwa zaidi ya point 8 wanakaa kimya Niliwaambia kwangu Mimi Pair ya Martinez na Varane ni imara zaidi ya duo zingine Yule mtoto Ganacho anatia hasira mpaka Busquet akaamua Bora ampige kibao kata mdomoni maana alishadhalilishwa Jana niliangalia match second half Man Unt wanacheza ball bhana acheni mchezo. Huyo Fredy Ndio balaa, Casemiro na Butcher ni Killer Players wa Kimyakimya wanaweza wakakuumiza na ukapewa kadi wewe. Le Bruno ni mchezaji mwenye kutumia Akili nyingi, sub ya Weghorst kauingia Antony na akabadili game na akascore Unajua Man utd shida yetu miaka yote hiyo ilkuwa ni kocha tu Gardiola aliwahi kusema apewe wachezaji hao hao utaona shughuli yake asa tumepata mtu sahihi Man united walikuwa aggressive,sharp,hunger....sub ya Antony imetupa matokeo credits kwa ETH...Heading to the final on Sunday Finger crossed Rashford asiwe kaumia sana Tusema ukweli, Man United wamepata kocha safari hii. Wamesota sana kutafuta mbadala la Sir Alex Ferguson ila safari hii kuna matumaini ya kurejesha heshima waliyoipoteza kwa miaka 10. Yaani sasa hivi changamoto iliyopo kuna baadhi ya wachezaji wanacheza below per average, wanatakiwa Ku pull up their socks kidogo, kila mchezaji kila mechi akicheza kwa kiwango tarajiwa tutakuwa eneo salama. [ATTACH type="full"]1282[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Man United imebadilika sana na inaenda kua tishio sasa
Top
Bottom