Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Tukubali tu jana tulizidiwa mbinu na Jurgen Klopp angalia goli la pili baada ya half time then angalia uwiano wa goli la 3 second half walituzidi maarifa ndani ya dak 15 wakatuadhibu.

Na kuna watu walikuwa wanalalamikia mabeki ndiyo maana niliwashangaa sana yaani kila mchezaji alikuwa hachezi mpira akiwa confortable,

Kitu kingine ambacho watu wengi hawakijui ni kwamba ukienda Anfield unaenda kutafuta sare au kufungwa Pep Guadiola pamoja na kuwa na timu bora sana karibu misimu yote lakini hajawahi kumfunga Klopp pale Anfield anaambulia sare tu.

Nilipenda sana Jana Klopp alikuwa na game plan kama kocha alipofunga Casemiro goal akaona mapungufu kuwa Hawa wameanza press na Dalot alipokosa akatumia plan hiyo hiyo kutuchekecha kuwa cover kati alafu pitia kulia walimiminika hatare Shaw mpaka anataka kupiga ngumi kweli Jana hoi bin taaban

Rashford anapandisha soksi Tu Bruno amekuwa muindi analalamika Tu na refa

Shaw kuna goli zake mbili za kizembe sana, Dalot kama Goli 3 anaenda kwenye mstari halafu anakaa ndani ya nyavu

Ile wiki Jana Dalot aliamua kuiruhusu kabisaa kajichafua, kocha angeanza Na Bissaka, Dalot was no where to be seen, kross hapigi kukaba hakabi

Anthony akikamata mpira Kwa Mara ya kwanza anakimbia Kwa kasi mbele kama atampita mtu vile lakini mwishoni lazima apige U turn na kutoa back pass, najiuliza si aache kukimbia kule kwenye kibendera atoe tu pasi mapema maisha yaendelee

Yote kwa Yote imebaki History ya maumivu. Ndio maana nasema imenyesha tuone panapovuja. Kiukweli mimi simlaumu yeyote (sio Kipa, Kiungo au Kocha). Tuongeze kuamini vijana wetu na tusajili watu wenye UWEZO. Period
 

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Ronaldo aliyeshinda 4 Kila ninapotazama mambo muhimu ya Ronaldo alirudi Man-U machozi hutiririka machoni mwangu kwa kweli hatukumtendea vyema. Tukishinda tunaanza kumsema vibaya. Hata kochi lilikuwa na uvumi wa kumsema vibaya b4 mchezo. Sasa ona kinachotokea hatujapoteza 7:0 tangu 1902. Jst imagine alright tunasubiri, tunapumzika na tunasonga tena 🤏

Jinsi tunavyosahau haraka… vijana walishinda Carabao siku ya Jumapili na jumatano ilibidi watoke nyuma ili kupata nafasi katika FA.. wapewe mapumziko tafadhali.
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Kuna baadhi ya pointi chanya ambazo zinaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashabiki na United mbali na mchezo wa jana usiku.
1. Kipigo cha United jana usiku, kwa mujibu wangu, ni kawaida kwa sababu ya stamina ya mchezaji. Kushuka/kuchoka, huku rekodi za United zikiwa hazijafungwa katika mechi 11 zilizopita katika hafla zote za mashindano
2. United bado inashiriki robo fainali ya Kombe la FA & robo fainali ya Kombe la Ligi ya Europa
3. Angalau usiku wa jana United walipoteza ugenini sio nyumbani ambapo Old Trafford bado wanaendeleza uzuri wake.
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Ni kawaida kupoteza na kushinda, pia inaitwa mpira wa miguu, hakuna anayeweza kutabiri utashinda au kupoteza kwa aibu au kupoteza kwa aibu huu ni mpira wa miguu, fanya kipigo hiki cha aibu safari hii itakuwa fundisho kwa mechi ijayo, lakini ikiwa ikiwezekana Manchester United lazima inunue washambuliaji wa hali ya juu zaidi na watengeneza wachezaji washambuliaji wazuri kama Yousuf Moukoko na viungo Young kama Jude Bellingham, naamini Manchester united klabu hii inaweza kurejea #gloryglorymanunited 💪🔴
 

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
7 hazijawahi kuwa chache. Nadhani huyu coach bado hajajua kuna games zinahitaji approach tofauti. Na mara nyingi games hizo huwa na wachezaji wake. Ni vizuri huenda anaendelea kujua this is premier league. One approach can never work in every game.
 

Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27
5
Yan iko hiv siku zote mpira Ni Mchezo wa makosa narudia siku zote mpira Ni Mchezo wa makosa umefanya makosa mpinzani anatuazibu kwa maan ile Ni team kubwa pia inawatu wakubwa ambao wanaweza kukuwazibu kutokan na makosa unayo fanya uwanjan... Naamin timu ilijiamini San kupitiliza kutokan na matokeo ambayo waliyokuwa wanapata pia wachezaji Leo kiukwel wamecheza chini ya kiwango kwa maan Kam vile walikuwa wamechoka lkn bado natumai ile bado ni team bila kupoteza mechi hii so kuwatoa kweny lengo bado wanaitaka top 4 pia na makombe ambayo bado mnnashiriki nguvu zao waelekezee kweny mech zinazo kuja siamin Kam wanaweza kuwapa lawama San wachezaj jana kupotea kimchezo
 

Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
Ishu iiyopo sio kufungwa ishu unafungwaje 7 ishu ya pili BILA. Kuna jambo ambalo aliposawa eitha ndan ya uongoz kwa maana man ilikaa vzur baada ya kumfunga liver hapo tulishapoteza mechi kadhaa nyuma ikiwemo bright na kina brent ikapelekea leo hii grazer kuamini kutouza team na leo hii tunaharib kw liver hvy tutegemee matokeo mabaya! Tumsifu kocha kw kutumia 90% ya kikosi alichokikuta na kuwez kudum ktk ligi 4 na kubeba 1. Au nna mashak na afya zawachezaj kutokana na mfululizo wa mechi lkn wakat naingia kutazama mechi mana nilichelew 36 mins ivi, niliona kabsa LUKE SHAW,DALOT NA FRED mechi sio yao ! Lkn je aingie nani? Kikosi c kipana kudum makombe 4 mwisho kabsa akuna sehemu nzuri kama kuuzi man u kama ukipigwa na liver hyo n ticket kw grazer. NAWAKUMBUSHA MMEONA UMUHIMU WA WEGHOST