Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tukubali tu jana tulizidiwa mbinu na Jurgen Klopp angalia goli la pili baada ya half time then angalia uwiano wa goli la 3 second half walituzidi maarifa ndani ya dak 15 wakatuadhibu.

Na kuna watu walikuwa wanalalamikia mabeki ndiyo maana niliwashangaa sana yaani kila mchezaji alikuwa hachezi mpira akiwa confortable,

Kitu kingine ambacho watu wengi hawakijui ni kwamba ukienda Anfield unaenda kutafuta sare au kufungwa Pep Guadiola pamoja na kuwa na timu bora sana karibu misimu yote lakini hajawahi kumfunga Klopp pale Anfield anaambulia sare tu.

Nilipenda sana Jana Klopp alikuwa na game plan kama kocha alipofunga Casemiro goal akaona mapungufu kuwa Hawa wameanza press na Dalot alipokosa akatumia plan hiyo hiyo kutuchekecha kuwa cover kati alafu pitia kulia walimiminika hatare Shaw mpaka anataka kupiga ngumi kweli Jana hoi bin taaban

Rashford anapandisha soksi Tu Bruno amekuwa muindi analalamika Tu na refa

Shaw kuna goli zake mbili za kizembe sana, Dalot kama Goli 3 anaenda kwenye mstari halafu anakaa ndani ya nyavu

Ile wiki Jana Dalot aliamua kuiruhusu kabisaa kajichafua, kocha angeanza Na Bissaka, Dalot was no where to be seen, kross hapigi kukaba hakabi

Anthony akikamata mpira Kwa Mara ya kwanza anakimbia Kwa kasi mbele kama atampita mtu vile lakini mwishoni lazima apige U turn na kutoa back pass, najiuliza si aache kukimbia kule kwenye kibendera atoe tu pasi mapema maisha yaendelee

Yote kwa Yote imebaki History ya maumivu. Ndio maana nasema imenyesha tuone panapovuja. Kiukweli mimi simlaumu yeyote (sio Kipa, Kiungo au Kocha). Tuongeze kuamini vijana wetu na tusajili watu wenye UWEZO. Period

[QUOTE="McRay, post: 3544, member: 468"] Tukubali tu jana tulizidiwa mbinu na Jurgen Klopp angalia goli la pili baada ya half time then angalia uwiano wa goli la 3 second half walituzidi maarifa ndani ya dak 15 wakatuadhibu. Na kuna watu walikuwa wanalalamikia mabeki ndiyo maana niliwashangaa sana yaani kila mchezaji alikuwa hachezi mpira akiwa confortable, Kitu kingine ambacho watu wengi hawakijui ni kwamba ukienda Anfield unaenda kutafuta sare au kufungwa Pep Guadiola pamoja na kuwa na timu bora sana karibu misimu yote lakini hajawahi kumfunga Klopp pale Anfield anaambulia sare tu. Nilipenda sana Jana Klopp alikuwa na game plan kama kocha alipofunga Casemiro goal akaona mapungufu kuwa Hawa wameanza press na Dalot alipokosa akatumia plan hiyo hiyo kutuchekecha kuwa cover kati alafu pitia kulia walimiminika hatare Shaw mpaka anataka kupiga ngumi kweli Jana hoi bin taaban Rashford anapandisha soksi Tu Bruno amekuwa muindi analalamika Tu na refa Shaw kuna goli zake mbili za kizembe sana, Dalot kama Goli 3 anaenda kwenye mstari halafu anakaa ndani ya nyavu Ile wiki Jana Dalot aliamua kuiruhusu kabisaa kajichafua, kocha angeanza Na Bissaka, Dalot was no where to be seen, kross hapigi kukaba hakabi Anthony akikamata mpira Kwa Mara ya kwanza anakimbia Kwa kasi mbele kama atampita mtu vile lakini mwishoni lazima apige U turn na kutoa back pass, najiuliza si aache kukimbia kule kwenye kibendera atoe tu pasi mapema maisha yaendelee Yote kwa Yote imebaki History ya maumivu. Ndio maana nasema imenyesha tuone panapovuja. Kiukweli mimi simlaumu yeyote (sio Kipa, Kiungo au Kocha). Tuongeze kuamini vijana wetu na tusajili watu wenye UWEZO. Period [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana
Top
Bottom