Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Man United Tunashukuru tumeshinda Na ugenini pia
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Maguire kacheza Vizuri sana wadau, tumpe sifa anayostahili anapofanya Vizuri, alituokoa Na block moja ingepita sidhani kama De Gea angedaka

De Gea nae alituokoa bao moja la kichwa sijui ilikuwa kona ile amefanya Vizuri, kwa Mara ya kwanza nimeona De Gea footwork iki improve.

Casemiro ndio Backbone ya Team kwa sasa, Spanish Teams zilikuwa zinatusumbua kwa sababu tukipata mpira ilikuwa tunarukaruka unarudi kwao tena, Casemiro anaituliza team, pia south America players wanajua sana kukaa Na mpira Na kutuliza team wanatusaidia

Erik Ten Hag anajua.So far anafanya Vizuri, padogo alipofeli ni quality ya wachezaji

Fred hawezi kukupa zaidi ya afanyacho,hawezi kukupa Ziada, anamuangusha sana Kocha kupata kilicho bora zaidi

Weghorst hata kupiga mashuti mpira haukai mguuni, akipiga lazima aanguke chini Nadhani adui yake mkubwa ni body Mass yake yeye mwenyewe, size kubwa sana ile kwa mpira wa miguu

Malacia Jana kacheza kwa ukamilifu sana, sikupenda acheze Lakini kacheza Vizuri kwa kiwango cha juu labda kwa vile Spanish Teams always walaini Na yeye mlaini

[ATTACH=full]1404[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3646, member: 464"] Maguire kacheza Vizuri sana wadau, tumpe sifa anayostahili anapofanya Vizuri, alituokoa Na block moja ingepita sidhani kama De Gea angedaka De Gea nae alituokoa bao moja la kichwa sijui ilikuwa kona ile amefanya Vizuri, kwa Mara ya kwanza nimeona De Gea footwork iki improve. Casemiro ndio Backbone ya Team kwa sasa, Spanish Teams zilikuwa zinatusumbua kwa sababu tukipata mpira ilikuwa tunarukaruka unarudi kwao tena, Casemiro anaituliza team, pia south America players wanajua sana kukaa Na mpira Na kutuliza team wanatusaidia Erik Ten Hag anajua.So far anafanya Vizuri, padogo alipofeli ni quality ya wachezaji Fred hawezi kukupa zaidi ya afanyacho,hawezi kukupa Ziada, anamuangusha sana Kocha kupata kilicho bora zaidi Weghorst hata kupiga mashuti mpira haukai mguuni, akipiga lazima aanguke chini Nadhani adui yake mkubwa ni body Mass yake yeye mwenyewe, size kubwa sana ile kwa mpira wa miguu Malacia Jana kacheza kwa ukamilifu sana, sikupenda acheze Lakini kacheza Vizuri kwa kiwango cha juu labda kwa vile Spanish Teams always walaini Na yeye mlaini [ATTACH type="full"]1404[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Man United Tunashukuru tumeshinda Na ugenini pia
Top
Bottom