Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN CITY YAIFUMUA UNITED 4-1

WENYEJI, Manchester City wamewafumua jirani zao, Manchester United mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

Mabao ya Man City yamefungwa na Kevin De Bruyne mawili dakika ya tano na 28 na Riyad Mahrez mawili pia, dakika ya 68 na 90, wakati la Man United limefungwa na Jadon Sancho dakika ya 22.

Kwa ushindi huo mnono, timu ya kocha Mspaniola, Pep Guardiola inafikisha pointi 69 katika mchezo wa 28 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi sita zaidi ya Liverpool wanaofuatia, ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi.

Kipigo cha leo kinazidi kupunguza matumaini ya Man United iliyo chini ya kocha wa muda, Mjerumani, Ralf Rangnick kumaliza nafasi nne za juu, ili ikibaki na pointi zake 47 za mechi 28 nafasi ya tano.

[QUOTE="mhariri, post: 1183, member: 122"] [HEADING=2]MAN CITY YAIFUMUA UNITED 4-1[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgscC1MlLyQ6yejCgQt2V4m2N-aWKb0dXB1MJhAcqnkvzdhRYuP3XsALUUJmsGdsDxbaR5meUkvy4YGILagU4mIBn1BAh6A067pXo2rjKaX0iqZy8MZHt4wGuJHRwFaIH4DfyFrUHr81z8HehmmxF9e4om59GitUZG9LpcsoTv-3jmUjw2ikt2A07Lq=s962'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgscC1MlLyQ6yejCgQt2V4m2N-aWKb0dXB1MJhAcqnkvzdhRYuP3XsALUUJmsGdsDxbaR5meUkvy4YGILagU4mIBn1BAh6A067pXo2rjKaX0iqZy8MZHt4wGuJHRwFaIH4DfyFrUHr81z8HehmmxF9e4om59GitUZG9LpcsoTv-3jmUjw2ikt2A07Lq=w640-h426[/IMG][/URL] WENYEJI, Manchester City wamewafumua jirani zao, Manchester United mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Mabao ya Man City yamefungwa na Kevin De Bruyne mawili dakika ya tano na 28 na Riyad Mahrez mawili pia, dakika ya 68 na 90, wakati la Man United limefungwa na Jadon Sancho dakika ya 22. Kwa ushindi huo mnono, timu ya kocha Mspaniola, Pep Guardiola inafikisha pointi 69 katika mchezo wa 28 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi sita zaidi ya Liverpool wanaofuatia, ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Kipigo cha leo kinazidi kupunguza matumaini ya Man United iliyo chini ya kocha wa muda, Mjerumani, Ralf Rangnick kumaliza nafasi nne za juu, ili ikibaki na pointi zake 47 za mechi 28 nafasi ya tano. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom