Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN CITY YAIFUATA LIVERPOOL KIBABE WEMBLEY

TIMU ya Manchester City imetinga Nusu Fainali ya Kombe la FA England kwa kishindo baada ya kuwachapa wenyeji,Southampton mabao 4-1 Jumapili Uwanja wa St. Mary's mjini Southampton, Hampshire.

Mabao ya Manchester City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 12, Kevin De Bruyne dakika ya 62 kwa penalti, Phil Foden dakika ya 75 na Riyad Mahrez dakika ya 78, wakati la Southampton limefungwa na Aymeric Laporte aliyejifunga dakika ya 45 na ushei.

Sasa Man City itakutana na wapinzani wao katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool mwezi ujao Uwanja wa Wembley Jijini London.

[QUOTE="Amir, post: 1279, member: 20"] [HEADING=2]MAN CITY YAIFUATA LIVERPOOL KIBABE WEMBLEY[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTJt1qxSqbsoA6NHzBZwqxVe3xpYyZSYkAFgClvafFklu2Vnxkh3Q-aSws0_fPK7H7HE2dUFlRkZPBs3TZW75Yz2g7jFuexSMOS2QG4HrZSokz8KR1bllC5lfz0p-2ddZstOYxCSCgkqBVi6NyxhMUUhD5_I3VlMCbvrFEearsNRMBceknWfiObdeU/w640-h414/E3D21AB3-1163-42DA-90DA-744BBD09EA53.jpeg[/IMG] TIMU ya Manchester City imetinga Nusu Fainali ya Kombe la FA England kwa kishindo baada ya kuwachapa wenyeji,Southampton mabao 4-1 Jumapili Uwanja wa St. Mary's mjini Southampton, Hampshire. Mabao ya Manchester City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 12, Kevin De Bruyne dakika ya 62 kwa penalti, Phil Foden dakika ya 75 na Riyad Mahrez dakika ya 78, wakati la Southampton limefungwa na Aymeric Laporte aliyejifunga dakika ya 45 na ushei. Sasa Man City itakutana na wapinzani wao katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool mwezi ujao Uwanja wa Wembley Jijini London. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom