Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN CITY YAITANDIKA NEWCASTLE UNITED 5-0 ETIHAD

WENYEJI, Manchester City wamepiga hatua moja mbele kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Newcastle United leo Uwanja wa Etihad, Manchester.

Mabao ya Man City yamefungwa na Raheem Sterling mawili, dakika ya 19 na 90 na ushei, Aymeric Laporte dakika ya 38, Rodri dakika ya 61 na Philip Foden dakika ya 90 na kwa ushindi huo mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 86 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi tatu zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 35.

Newcastle United wao wanabaki na pointi zao 43 za mechi 36 sasa nafasi ya 13.

[QUOTE="vuligate, post: 1459, member: 123"] [HEADING=2]MAN CITY YAITANDIKA NEWCASTLE UNITED 5-0 ETIHAD [/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZ1-8VoRIOHqR2j7v3A9QePcRXwin8Q-UjfAZ3nGOfb3X61STP0TDIuvcHwW52IRK6oVyxnr6KIy3xp7r5RCiNg5ptcJ27nWRY_xDSJuKgCGlOEM1Geb86_HJY3etNsxS08wQ0TnPLV01xykrc6nZWy0vAQdPAnvIP9387l72JRWtB1BouXrRJNxOX/s962/BD818D7C-721F-4445-BD2B-A230CA77ABF2.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZ1-8VoRIOHqR2j7v3A9QePcRXwin8Q-UjfAZ3nGOfb3X61STP0TDIuvcHwW52IRK6oVyxnr6KIy3xp7r5RCiNg5ptcJ27nWRY_xDSJuKgCGlOEM1Geb86_HJY3etNsxS08wQ0TnPLV01xykrc6nZWy0vAQdPAnvIP9387l72JRWtB1BouXrRJNxOX/w640-h466/BD818D7C-721F-4445-BD2B-A230CA77ABF2.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Manchester City wamepiga hatua moja mbele kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Newcastle United leo Uwanja wa Etihad, Manchester. Mabao ya Man City yamefungwa na Raheem Sterling mawili, dakika ya 19 na 90 na ushei, Aymeric Laporte dakika ya 38, Rodri dakika ya 61 na Philip Foden dakika ya 90 na kwa ushindi huo mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 86 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi tatu zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 35. Newcastle United wao wanabaki na pointi zao 43 za mechi 36 sasa nafasi ya 13. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom