Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

DE BRUYNE APIGA NNE MAN CITY YAICHAPA WOLVES 5-1

MABINGWA watetezi, Manchester City wameitandika Wolverhampton Wanderers mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Molineux, Wolverhampton, West Midlands.

Nyota Mbelgiji, Kevin De Bruyne peke yake amefunga mabao manne dakika za saba. 16, 24 na 60, kabla ya Raheem Sterling kufunga la tano dakika ya 84, wakati la Wolves limefungwa na Leander Dendoncker dakika ya 11.

Man City imefikisha pointi 89, tatu zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 36.

Wolves wanabaki na pointi zao 50 za mechi 36 pia nafasi ya nane.

[QUOTE="Amir, post: 1466, member: 20"] [HEADING=2]DE BRUYNE APIGA NNE MAN CITY YAICHAPA WOLVES 5-1[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEho-qrmPEXZuciFmEWfgP7I-ViP5sB4m_oBsiel8eVdeTZAVBS-e49_6KBNh_mvpJ1T7KRxbdvSdOu1Y3f4cUqefM-yqp_SsABxETmJahuEyd_hqvcKRLomf_7vFsdX2oBACRPnNSTTIzjmFKj8dE0_LrZxnXogb0bd_Y2fJGd79l80ueCBV1hFiQPt/s962/038DFE4F-BE90-48F6-A092-898E830027B3.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEho-qrmPEXZuciFmEWfgP7I-ViP5sB4m_oBsiel8eVdeTZAVBS-e49_6KBNh_mvpJ1T7KRxbdvSdOu1Y3f4cUqefM-yqp_SsABxETmJahuEyd_hqvcKRLomf_7vFsdX2oBACRPnNSTTIzjmFKj8dE0_LrZxnXogb0bd_Y2fJGd79l80ueCBV1hFiQPt/w640-h412/038DFE4F-BE90-48F6-A092-898E830027B3.jpeg[/IMG][/URL] MABINGWA watetezi, Manchester City wameitandika Wolverhampton Wanderers mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Molineux, Wolverhampton, West Midlands. Nyota Mbelgiji, Kevin De Bruyne peke yake amefunga mabao manne dakika za saba. 16, 24 na 60, kabla ya Raheem Sterling kufunga la tano dakika ya 84, wakati la Wolves limefungwa na Leander Dendoncker dakika ya 11. Man City imefikisha pointi 89, tatu zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 36. Wolves wanabaki na pointi zao 50 za mechi 36 pia nafasi ya nane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom