Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN CITY YAAMBULIA SARE KWA WEST HAM, 2-2 LONDON

MABINGWA watetezi, Manchester City wamelazimisha sare ya 2-2 na wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa London Jijini London.

West Ham walitangulia kwa mabao ya Jarrod Bowen dakika ya 24 na 45, kabla ya Man City kuchomoa kupitia kwa Jack Grealish dakika ya 49 na Vladimír Coufal aliyejifunga dakika ya 69.

Manchester City ingeweza kuondoka na pointi zote tatu kama mshambuliaji Mualgeria, Riyad Mahrez angefunga penalti dakika ya 86, ambayo iliokolewa na Fabianski. Penalti hiyo ilifuatia Gabriel Jesus kuangushwa na Craig Dawson kwenye boksi.

Man City inafikisha pointi 90 katika mchezo wa 37 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi nne zaidi ya Liverpool ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi, wakati West Ham sasa ina pointi 56 za mechi 37 nafasi ya saba.

[QUOTE="Amir, post: 1472, member: 20"] [HEADING=2]MAN CITY YAAMBULIA SARE KWA WEST HAM, 2-2 LONDON[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-Odj3Y7TpNzTsuy10xE1mD5bLSGX7WtWXaKdinlMybcXllyf_luAzimLAaukomqkmFfbb4Us9pAN8cY03QCXoTt1bOxJqr2soZJMUB8nLw2YK9wHfbURCAgvPE4HFuYzLU6ynXdJX_oMN8b9jjYSNjMcKctlpNGPrQTJr8JFvyrCW4CBUKD0tvWA4/s634/ECB28B65-6B9A-44FB-99F6-A52254211408.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-Odj3Y7TpNzTsuy10xE1mD5bLSGX7WtWXaKdinlMybcXllyf_luAzimLAaukomqkmFfbb4Us9pAN8cY03QCXoTt1bOxJqr2soZJMUB8nLw2YK9wHfbURCAgvPE4HFuYzLU6ynXdJX_oMN8b9jjYSNjMcKctlpNGPrQTJr8JFvyrCW4CBUKD0tvWA4/w640-h436/ECB28B65-6B9A-44FB-99F6-A52254211408.jpeg[/IMG][/URL] MABINGWA watetezi, Manchester City wamelazimisha sare ya 2-2 na wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa London Jijini London. West Ham walitangulia kwa mabao ya Jarrod Bowen dakika ya 24 na 45, kabla ya Man City kuchomoa kupitia kwa Jack Grealish dakika ya 49 na Vladimír Coufal aliyejifunga dakika ya 69. Manchester City ingeweza kuondoka na pointi zote tatu kama mshambuliaji Mualgeria, Riyad Mahrez angefunga penalti dakika ya 86, ambayo iliokolewa na Fabianski. Penalti hiyo ilifuatia Gabriel Jesus kuangushwa na Craig Dawson kwenye boksi. Man City inafikisha pointi 90 katika mchezo wa 37 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi nne zaidi ya Liverpool ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi, wakati West Ham sasa ina pointi 56 za mechi 37 nafasi ya saba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom