Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN CITY YAICHAPA ARSENAL PUNGUFU 2-1 EMIRATES.

MABINGWA watetezi, Manchester City wametanua uongozi wao hadi pointi 11 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jijini London.

Mabao ya Manchester City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya 57 kwa penalti baada ya

Granit Xhaka kumchezea rafu Bernardo Silva na Rodri dakika ya 90 na ushei kufuatia Arsenal kutangulia kwa bao la Bukayo Saka dakika ya 31.

Kwa ushindi huo katika mchezo wa 21, Man City inafikisha pointi 53 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 11 zaidi ya Chelsea iliyocheza mechi 29.

Arsenal waliomaliza pungufu baada ya Gabriel kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 59 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kumchezea rafu Gabriel Jesus wanabaki na pointi zao 35 za mechi 20 katika nafasi ya nne.

[ATTACH=full]121[/ATTACH]

[QUOTE="mhariri, post: 237, member: 122"] [HEADING=2]MAN CITY YAICHAPA ARSENAL PUNGUFU 2-1 EMIRATES.[/HEADING] MABINGWA watetezi, Manchester City wametanua uongozi wao hadi pointi 11 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jijini London. Mabao ya Manchester City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya 57 kwa penalti baada ya Granit Xhaka kumchezea rafu Bernardo Silva na Rodri dakika ya 90 na ushei kufuatia Arsenal kutangulia kwa bao la Bukayo Saka dakika ya 31. Kwa ushindi huo katika mchezo wa 21, Man City inafikisha pointi 53 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 11 zaidi ya Chelsea iliyocheza mechi 29. Arsenal waliomaliza pungufu baada ya Gabriel kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 59 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kumchezea rafu Gabriel Jesus wanabaki na pointi zao 35 za mechi 20 katika nafasi ya nne. [ATTACH type="full"]121[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom