Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAHREZ APOZA MACHUNGU YA AFCON MAN CITY.

MSHAMBULIAJI Riyad Mahrez jana aliweka kando machungu ya kushindwa kuisaidia Algeria kutetea taji la AFCON baada ya kufunga mabao mawili kuiwezesha Manchester City kuichapa Fulham 4-1 usiku wa Jumamosi Uwanja wa Etihad na kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la FA England.

Mahrez alifunga dakika ya 53 kwa penalti na 57, wakati mabao mengine ya Man City yalifungwa na İlkay Gündoğan dakika ya sita na John Stones dakika ya 13, wakati bao pekee la Fulham lilifungwa na Fabio Carvalho dakika ya nne.

Nayo Chelsea ililazimika kusubiri hadi dakika 120 kusonga mbele kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Plymouth Argyle Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Beki, Macaulay Gillesphey alianza kuifungia Plymouth Argyle dakika ya nane kabla y The Blues kutoka nyuma kwa mabao ya César Azpilicueta dakika ya 41 na Marcos Alonso dakika ya 105 na ushei.

Naye Harry Kane jana alifunga mabao yote, Tottenham ikiichapa Brighton 3-1 na kutinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England. Bao pekee la Brighton lilifungwa na Yves Bissouma.

[QUOTE="Amir, post: 762, member: 20"] [HEADING=2]MAHREZ APOZA MACHUNGU YA AFCON MAN CITY.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEggomLxqcJnvXte9kko-q6silwgfj1KAKHUjrkCC-GsYSPPyChXtDtcfvPnPruQGAzdwl45ZldHeHT5dkz48AUY_qdzz-34bXAP10a5tT5dn7pAek3CaQGPsVPJtSWUvvs8HbXlX--uqgvCbJzfZ0oVgZWoDpNPwaZQJ2BFYxTS0A8wIM45ZLv8O5mP=w640-h428[/IMG] MSHAMBULIAJI Riyad Mahrez jana aliweka kando machungu ya kushindwa kuisaidia Algeria kutetea taji la AFCON baada ya kufunga mabao mawili kuiwezesha Manchester City kuichapa Fulham 4-1 usiku wa Jumamosi Uwanja wa Etihad na kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la FA England. Mahrez alifunga dakika ya 53 kwa penalti na 57, wakati mabao mengine ya Man City yalifungwa na İlkay Gündoğan dakika ya sita na John Stones dakika ya 13, wakati bao pekee la Fulham lilifungwa na Fabio Carvalho dakika ya nne. Nayo Chelsea ililazimika kusubiri hadi dakika 120 kusonga mbele kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Plymouth Argyle Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Beki, Macaulay Gillesphey alianza kuifungia Plymouth Argyle dakika ya nane kabla y The Blues kutoka nyuma kwa mabao ya César Azpilicueta dakika ya 41 na Marcos Alonso dakika ya 105 na ushei. Naye Harry Kane jana alifunga mabao yote, Tottenham ikiichapa Brighton 3-1 na kutinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England. Bao pekee la Brighton lilifungwa na Yves Bissouma. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom