Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAHREZ AFUNGA MAN CITY YASHINDA 2-0.

WENYEJI, Manchester City wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad.

Mabao ya Man City yamefungwa na Mualgeria Riyad Mahrez dakika ya 40 kwa penalti baada ya Raheem Sterling kuchezewa rafu na Mads Roerslev wa Brentford na la pili, Mbelgiji Kevin de Bruyne dakika ya 69 akinufaika na makosa ya David Raya.

Sasa kikosi cha kocha Mspaniola, Pep Guardiola, Manchester City kinafikisha pointi 60 katika mchezo wa 24 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 12 zaidi ya Liverpool inayofuatia ambayo pia ina mechi mbili mkononi, wakati Brentford inabaki na pointi zake 23 za mechi 24 sasa katika nafasi ya 14.

[QUOTE="Amir, post: 827, member: 20"] [HEADING=2]MAHREZ AFUNGA MAN CITY YASHINDA 2-0.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh-UCLNTnG2YOuqOgFCNskGDTkNLm3pN9I03Sl-ZCZ7X8b1543iNQ9PssjbltIzCU2qtmZbzAk9bLlYu7Ik3mEgv6f9r17QV6Knx4xFOx0aX4_MGtCfBvWEt3BcOyTyeJFx2iPTn_lRFXKxP_S3im7BX5RZ4qLs8xdMyoapC5E5DtaOEqdQhslXOvFN=w640-h426[/IMG] WENYEJI, Manchester City wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad. Mabao ya Man City yamefungwa na Mualgeria Riyad Mahrez dakika ya 40 kwa penalti baada ya Raheem Sterling kuchezewa rafu na Mads Roerslev wa Brentford na la pili, Mbelgiji Kevin de Bruyne dakika ya 69 akinufaika na makosa ya David Raya. Sasa kikosi cha kocha Mspaniola, Pep Guardiola, Manchester City kinafikisha pointi 60 katika mchezo wa 24 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 12 zaidi ya Liverpool inayofuatia ambayo pia ina mechi mbili mkononi, wakati Brentford inabaki na pointi zake 23 za mechi 24 sasa katika nafasi ya 14. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City Thread
Top
Bottom