Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City wakutwa na Mashtaka ya kujibu.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza imekumbwa na mashtaka mbalimbali baada ya Uchaguzi uliofanywa na bodi ya ligi kuu Uingereza.

Mashtaka hayo wanayokabiliana nayo ni zaidi ya 100 kuanzia 2009 mpaka 2018 ambapo katika kipindi hiki cha miaka 9 Man city walitwaa mataji 3 ya ligi kuu.

Baadhi ya mashtaka wanayokabiliana nayo miamba hiyo ya Manchester ni pamoja na;

-Kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa uchunguzi (2018/19 2022/23)

—Kuzidisha mapato ya wadhamini na kuficha ukweli wa vyanzo vya mapato

—Kumlipa kocha Roberto Mancini pesa zaidi kwenye mkataba wa siri

—Kushindwa kutoa taarifa halisi kuhusu mishahara ya wachezaji

—Kuvunja sheria za faida na uendelevu za Ligi Kuu England

—Kushindwa kuendana na taratibu za mapato na matumizi ya UEFA

Kama Manchester City watakutwa na makosa haya basi wanaweza kukumbana na adhabu ya kushushwa daraja, kulipa faini, kutoshiriki michuano ya UEFA.

Hata hivyo Manchester City wenyewe wamekana kuhusika na mashtaka hayo, hivyo wapo tayari kupelekea kesi hiyo mahakamani.

Je,unaiona wapi Manchester City katika kesi hii inayowakabili wana nafasi ya kushinda au watakumbana na adhabu?

[QUOTE="Sports journalist, post: 3205, member: 622"] Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza imekumbwa na mashtaka mbalimbali baada ya Uchaguzi uliofanywa na bodi ya ligi kuu Uingereza. Mashtaka hayo wanayokabiliana nayo ni zaidi ya 100 kuanzia 2009 mpaka 2018 ambapo katika kipindi hiki cha miaka 9 Man city walitwaa mataji 3 ya ligi kuu. Baadhi ya mashtaka wanayokabiliana nayo miamba hiyo ya Manchester ni pamoja na; -Kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa uchunguzi (2018/19 2022/23) —Kuzidisha mapato ya wadhamini na kuficha ukweli wa vyanzo vya mapato —Kumlipa kocha Roberto Mancini pesa zaidi kwenye mkataba wa siri —Kushindwa kutoa taarifa halisi kuhusu mishahara ya wachezaji —Kuvunja sheria za faida na uendelevu za Ligi Kuu England —Kushindwa kuendana na taratibu za mapato na matumizi ya UEFA Kama Manchester City watakutwa na makosa haya basi wanaweza kukumbana na adhabu ya kushushwa daraja, kulipa faini, kutoshiriki michuano ya UEFA. Hata hivyo Manchester City wenyewe wamekana kuhusika na mashtaka hayo, hivyo wapo tayari kupelekea kesi hiyo mahakamani. Je,unaiona wapi Manchester City katika kesi hii inayowakabili wana nafasi ya kushinda au watakumbana na adhabu? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester City wakutwa na Mashtaka ya kujibu.
Top
Bottom