Manchester United ✍🏿

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Manchester United Wanaweza kuachana na De gea Mkataba wake Ukifika tamati,mkufunzi eric ten Haag pia anahitaji Mlinda lango mwingine na atabariki jambo Hilo Kwa Mikono miwili.

Ila kitendo Cha Manchester kumpuuzia Mlinda lango wa Brighton & hove Albion Robert Sanchez kinaweza kuwafanya wajutie Zaidi.Diogo Costa ni Mzuri ndio lakini Sanchez amedhihirisha kuwa Anaweza,Tayari amepafom Kwa Hali ya juu Akiwa pale Brighton, Tofauti na Diogo Costa Ambaye atakuwa mgeni Kwenye ligi na hata kule Liga Portuguese yupo Nyuma ya Vlachodimos Linapokuja swala la kipa Bora.

Manchester United Wanaweza wakafanya Kosa Kubwa Kumuacha Robert Sanchez Mwenye Umri Wa Miaka 25 tu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1672405601975.jpg
    FB_IMG_1672405601975.jpg
    35 KB · Somwa: 0