Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United imekuwa team yenye spirit ya ushindi kwasasa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Manchester United imekuwa team yenye spirit ya ushindi kwasasa japo kukosekana kwa no 9 mtu msumbufu na hatari kunafanya team ikose magoli mengi au nafasi nyingi Mana magoli ya Manchester now yanafungwa Sana na viungo washambuliaji.

Mechi ilikuwa nzuri Man u walitawala game kipindi chote mpaka pale kadi nyekundu ilipotolewa kwa Jambo la kizembe Sana na huyu Casemiro huwa akikosekana team Ina pwaya Sana Sana pale Kati

Tuwapongeze mabeki wetu veran na Martinez walifanya kazi ngumu Sana baada ya kadi pia Wan Bisaka na Shaw walikuwa wako active Sana Sana kuzuia mashambulizi yasifike golini.

Manchester United bado inahitaji usajiri no 9 hayupo.

[ATTACH=full]1153[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3181, member: 464"] Manchester United imekuwa team yenye spirit ya ushindi kwasasa japo kukosekana kwa no 9 mtu msumbufu na hatari kunafanya team ikose magoli mengi au nafasi nyingi Mana magoli ya Manchester now yanafungwa Sana na viungo washambuliaji. Mechi ilikuwa nzuri Man u walitawala game kipindi chote mpaka pale kadi nyekundu ilipotolewa kwa Jambo la kizembe Sana na huyu Casemiro huwa akikosekana team Ina pwaya Sana Sana pale Kati Tuwapongeze mabeki wetu veran na Martinez walifanya kazi ngumu Sana baada ya kadi pia Wan Bisaka na Shaw walikuwa wako active Sana Sana kuzuia mashambulizi yasifike golini. Manchester United bado inahitaji usajiri no 9 hayupo. [ATTACH type="full"]1153[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United imekuwa team yenye spirit ya ushindi kwasasa
Top
Bottom