Manchester United Kupata Mfadhili Mpya Ambay Ni Msaudia..!

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
EplWorld inaripoti kuwa mkurugenzi mtendaji wa Manchester United Richard Arnold Alifanya majadiliano na mamlaka ya Saudia Kwa Ajili Ya ufadhili wa jezi unaowezekana Ambapo jezi Kwenye kifua isomeke “Visit Saudia".hakuna hatua Zaidi zilizochukuliwa Tangu mkutano huo ambao ulifanyika Kabla ya Kombe La Dunia.

EplWorld Wanasema walisimamisha mazungumzo na Manchester United Kuhusu kufadhili jezi ya Klabu Hiyo,Mkataba Wa Awali ulitakiwa kutiwa Saini Kati ya pande Hizi mbili wiki Hii.
 

Attachments

  • _EPLworld inaripoti kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa _MUFC_ Richard Arnold_ alifanya majadiliano na...JPG
    _EPLworld inaripoti kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa _MUFC_ Richard Arnold_ alifanya majadiliano na...JPG
    58.4 KB · Somwa: 1