Manchester United na Gernacho Mkataba wa uhakika

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Manchester United wana uhakika wa kukamilisha mkataba mpya wa Alejandro Garnacho na kufungwa hivi karibuni. Mazungumzo yanaendelea baada ya pendekezo la kwanza mnamo Juni.

Man United wanataka Garnacho awe mchezaji muhimu kwa sasa na siku zijazo.
E215F5AF-7531-461B-BC75-802482AC38B1.jpeg