MANCHESTER UNITED WAMUWINDA FACUNDO PELLISTRI

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Manchester United wataaangalia nafasi za mkopo kumnasa Facundo Pellistri january hii, na Man United waliwekeza kiasi cha €10m kwa miaka miwili iliyopita.
Ni mchezaji hatari anaevutia na kuwindwa kutoka mataifa na ligi mbalimbali, na ameonesha yuko tayari kuhama mwaka ujao 2023.
 

Attachments

  • 1667592688773.png
    1667592688773.png
    423.6 KB · Somwa: 0