Kuna nafasi nzuri kwamba Cody Gakpo ataondoka PSV.
Mpango halisi (wa PSV) ulikua ni kumueka mpaka dirisha kubwa lakini kutokana na takwimu zake za kombe la dunia mpango umebadilika.
Manchester United wapo kwenye mazungumzo na wakala wake;
(pia kuna klabu) 3 au 4 ambazo zinavutiwa nae.
