Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN UNITED YAICHAPA LEEDS 4-2 ELLAND ROAD

TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Elland Road.

Mabao ya Man United yamefungwa na Harry Maguire dakika ya 34, Bruno Fernandes dakika ya 45, Fred dakika ya 70 na Anthony Elanga dakika ya 88 wakati ya Leeds yamefungwa na Rodrigo dakika ya 53 na Raphinha dakika ya 54.

Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 46 katika mchezo wa 26 na kurejea nafasi ya nne, wakati Leeds inabaki na pointi zake 23 za mechi 24 katika nafasi ya 15.

[QUOTE="Amir, post: 1005, member: 20"] [HEADING=2]MAN UNITED YAICHAPA LEEDS 4-2 ELLAND ROAD[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEirmdMJDGnIzVpNfR0sgkgTJn4aGzfs50MpipvOL2FjI2LJ1T-j3Awjhanhh7FAOdPYaAg3rTGAf6rqk_XKRiRNu052nIjE3iiR3AnyP8-FZmnBLHRhPQ7SraXPUcEEUyUNXd6AChFuNZSlQL5DO1GETnYvoUioW7HPcajHgM7ZfkIh-1RfszrILkmM=w640-h402[/IMG] TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Elland Road. Mabao ya Man United yamefungwa na Harry Maguire dakika ya 34, Bruno Fernandes dakika ya 45, Fred dakika ya 70 na Anthony Elanga dakika ya 88 wakati ya Leeds yamefungwa na Rodrigo dakika ya 53 na Raphinha dakika ya 54. Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 46 katika mchezo wa 26 na kurejea nafasi ya nne, wakati Leeds inabaki na pointi zake 23 za mechi 24 katika nafasi ya 15. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom