Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mtoko wa Pochettino utakuwa balaa kubwa United

MANCHESTER, ENGLAND. MANCHESTER United inajiandaa kufanya mabadiliko makubwa kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kwa ajili ya kuunda kikosi cha kazi cha msimu ujao.

Kocha wa kipindi cha mpito, Ralf Rangnick anajiandaa kubadilishwa na kocha wa Paris Saint-Germain, Mauricio Pochettino kwenye benchi la ufundi la miamba hiyo ya Old Trafford.

Pochettino, 49, amewekwa kwenye mipango ya Man United ambayo kwa sasa haionekani inacheza staili gani ya soka lake na kinachoelezwa ni kwamba Muargentina huyo akitua tu Old Trafford, usajili wake wa kwanza atakaofanya ni kumnasa Harry Kane.

Ujio wa Kane bila ya shaka utamweka pembeni Cristiano Ronaldo kwenye kikosi kama atakubali kuendelea kubaki mahali hapo. Jadon Sancho kwa sasa tayari ameshajitengenezea nafasi kwenye wingi ya kushoto na bila ya shaka Pochettino ataendelea kumtumia atakapotua klabuni hapo.

Mpango wa Man United ni kumnasa staa wa Kibrazili, Antony, anayekipiga huko Ajax kuja kucheza wingi ya kulia. Winga huyo Mbrazili amefunga mabao 11 na kuasisti mara nane msimu huu na kuwavutia Man United.

Bruno Fernandes, atabaki kwenye majukumu ya kucheza kiungo ya kushambulia chini ya Pochettino, ikiwa ni wazi alihitaji saini yake wakati alipokuwa Spurs mwaka 2019, bila shaka atakuwa Namba 10 kwenye fomesheni pendwa na Muargentina huyo ya 4-2-3-1.

Nyuma ya fowadi hiyo iliyosheheni mastaa watupu, Pochettino atahitaji kuwa na safu ya kiungo itakayokuwa na wakali wapya.

Man United ipo kwenye mchakato wa kunasa saini ya staa wa West Ham, Declan Rice kwenye dirisha lijalo na huenda saini yake ikagharimu Pauni 100 milioni.

Kwenye dili hilo, Man United inaweza kuamua kuwa na pacha ya Rice na Kalvin Phillips, huku pia ikiwa kwenye mchakato wa kumnasa Amadou Haidara kutoka RB Leipzig kama watamkosa Phillips.

Man United ya msimu ujao kama itamchukua Pochettino bila ya shaka hatakuwa na shaka kwenye safu ya mabeki, ambapo Harry Maguire na Raphael Varane wataendelea kuwa pacha katikati, huku pembeni ni Aaron Wan-Bissaka na Luke Shaw na David de Gea atasimama golini kama kawaida.

[QUOTE="vuligate, post: 1011, member: 123"] [HEADING=1]Mtoko wa Pochettino utakuwa balaa kubwa United[/HEADING] [IMG alt="Poche PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3722474/landscape_ratio16x9/1160/652/bb450a859dbe5693b15e1b71583f18fc/eh/poche-pic.jpg[/IMG] [B]MANCHESTER, ENGLAND. [/B]MANCHESTER United inajiandaa kufanya mabadiliko makubwa kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kwa ajili ya kuunda kikosi cha kazi cha msimu ujao. Kocha wa kipindi cha mpito, Ralf Rangnick anajiandaa kubadilishwa na kocha wa Paris Saint-Germain, Mauricio Pochettino kwenye benchi la ufundi la miamba hiyo ya Old Trafford. Pochettino, 49, amewekwa kwenye mipango ya Man United ambayo kwa sasa haionekani inacheza staili gani ya soka lake na kinachoelezwa ni kwamba Muargentina huyo akitua tu Old Trafford, usajili wake wa kwanza atakaofanya ni kumnasa Harry Kane. Ujio wa Kane bila ya shaka utamweka pembeni Cristiano Ronaldo kwenye kikosi kama atakubali kuendelea kubaki mahali hapo. Jadon Sancho kwa sasa tayari ameshajitengenezea nafasi kwenye wingi ya kushoto na bila ya shaka Pochettino ataendelea kumtumia atakapotua klabuni hapo. Mpango wa Man United ni kumnasa staa wa Kibrazili, Antony, anayekipiga huko Ajax kuja kucheza wingi ya kulia. Winga huyo Mbrazili amefunga mabao 11 na kuasisti mara nane msimu huu na kuwavutia Man United. Bruno Fernandes, atabaki kwenye majukumu ya kucheza kiungo ya kushambulia chini ya Pochettino, ikiwa ni wazi alihitaji saini yake wakati alipokuwa Spurs mwaka 2019, bila shaka atakuwa Namba 10 kwenye fomesheni pendwa na Muargentina huyo ya 4-2-3-1. Nyuma ya fowadi hiyo iliyosheheni mastaa watupu, Pochettino atahitaji kuwa na safu ya kiungo itakayokuwa na wakali wapya. Man United ipo kwenye mchakato wa kunasa saini ya staa wa West Ham, Declan Rice kwenye dirisha lijalo na huenda saini yake ikagharimu Pauni 100 milioni. Kwenye dili hilo, Man United inaweza kuamua kuwa na pacha ya Rice na Kalvin Phillips, huku pia ikiwa kwenye mchakato wa kumnasa Amadou Haidara kutoka RB Leipzig kama watamkosa Phillips. Man United ya msimu ujao kama itamchukua Pochettino bila ya shaka hatakuwa na shaka kwenye safu ya mabeki, ambapo Harry Maguire na Raphael Varane wataendelea kuwa pacha katikati, huku pembeni ni Aaron Wan-Bissaka na Luke Shaw na David de Gea atasimama golini kama kawaida. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom