Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Rangnick Kumuanzisha Ronaldo Licha Ya Ukame

KOCHA Ralf Rangnick anatarajiwa kusimama na Cristiano Ronaldo na atamuanzisha fowadi huyo katika mchezo wa Manchester Dabi, Jumapili dhidi ya Manchester City, kwa mujibu wa taarifa.

Awali, Ronaldo alianza maisha yake vyema Old Trafford akifunga mabao nane katika mechi zake 15 za kwanza za ligi, huku pia akifanya kazi kubwa kuisaidia United kutinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Hata hivyo, tangu kuanza kwa mwaka huu, mabao yake yamekauka akiwa amefunga bao moja tu katika mechi 10 zilizopita za michuano yote.

Katika mchezo wake wa hivi karibuni dhidi ya Watford, Ronaldo alikosa nafasi kibao United ilipobanwa kwa suluhu Old Trafford.

Ubutu wake langoni umeanza kuwafanya baadhi wahoji kama atapata nafasi dhidi ya Manchester City, lakini taarifa ya The Sun inaeleza kuwa Rangnick atamuanzisha kwenye first eleven.

Inaelezwa kuwa Rangnick anaamini Ronaldo, 37, aliyewekwa benchi dhidi ya Burnley mwezi uliopita, atakuwa amenufaika na mapumziko ya siku nane kabla ya kuivaa City.

Kwa sasa United wapo nafasi ya nne kwenye msimamo lakini wamejikuta wapo pointi mbili tu mbele ya Arsenal walio na viporo vitatu.

[QUOTE="Amir, post: 1176, member: 20"] [HEADING=1]Rangnick Kumuanzisha Ronaldo Licha Ya Ukame[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/2353-1568-2.62342589.jpg.gallery.jpg[/IMG] KOCHA Ralf Rangnick anatarajiwa kusimama na Cristiano Ronaldo na atamuanzisha fowadi huyo katika mchezo wa Manchester Dabi, Jumapili dhidi ya Manchester City, kwa mujibu wa taarifa. Awali, Ronaldo alianza maisha yake vyema Old Trafford akifunga mabao nane katika mechi zake 15 za kwanza za ligi, huku pia akifanya kazi kubwa kuisaidia United kutinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hata hivyo, tangu kuanza kwa mwaka huu, mabao yake yamekauka akiwa amefunga bao moja tu katika mechi 10 zilizopita za michuano yote. Katika mchezo wake wa hivi karibuni dhidi ya Watford, Ronaldo alikosa nafasi kibao United ilipobanwa kwa suluhu Old Trafford. Ubutu wake langoni umeanza kuwafanya baadhi wahoji kama atapata nafasi dhidi ya Manchester City, lakini taarifa ya The Sun inaeleza kuwa Rangnick atamuanzisha kwenye first eleven. Inaelezwa kuwa Rangnick anaamini Ronaldo, 37, aliyewekwa benchi dhidi ya Burnley mwezi uliopita, atakuwa amenufaika na mapumziko ya siku nane kabla ya kuivaa City. Kwa sasa United wapo nafasi ya nne kwenye msimamo lakini wamejikuta wapo pointi mbili tu mbele ya Arsenal walio na viporo vitatu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom