Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Rashford aipigia mkwara Man United

MANCHESTER, ENGLAND. STRAIKA wa Manchester United, Marcus Rashford anataka uhakika wa namba wa kudumu kikosini kabla ya kufanya maamuzi kuhusu hatima yake kwa mujibu wa ripoti.

Taarifa hiyo imeripotiwa na ripota maarufu wa masuala ya usajili Fabrizio Romano baada ya kupenyezewa na watu wa karibu wa nyota huyo.

Rashford mkataba wake utamalizika itakapofika mwaka 2023 yenye kipengele cha kuongoza mwingine lakini hatasaini hadi atakapopewa uhakika wa namba.

Nguli huyo wa masuala ya usajili ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa Rashford ameonyesha nidhamu ya hali juu kwani ni mchezaji ambaye amekulia katika kituo cha kukuzia vipaji Man United, hata hivyo kiwango chake bado hakijaridhisha tangu aliporejea baada ya kupona licha ya kufunga mabao manne Ligi Kuu England.

Ikumbukwe Rashford alikuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega.

[QUOTE="Amir, post: 1199, member: 20"] [HEADING=1]Rashford aipigia mkwara Man United[/HEADING] [IMG alt="rashford pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3739846/babd997343e6e25864548bd0370c0e2c/rashford-pic-data.jpg[/IMG] [B]MANCHESTER, ENGLAND. [/B]STRAIKA wa Manchester United, Marcus Rashford anataka uhakika wa namba wa kudumu kikosini kabla ya kufanya maamuzi kuhusu hatima yake kwa mujibu wa ripoti. Taarifa hiyo imeripotiwa na ripota maarufu wa masuala ya usajili Fabrizio Romano baada ya kupenyezewa na watu wa karibu wa nyota huyo. Rashford mkataba wake utamalizika itakapofika mwaka 2023 yenye kipengele cha kuongoza mwingine lakini hatasaini hadi atakapopewa uhakika wa namba. Nguli huyo wa masuala ya usajili ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa Rashford ameonyesha nidhamu ya hali juu kwani ni mchezaji ambaye amekulia katika kituo cha kukuzia vipaji Man United, hata hivyo kiwango chake bado hakijaridhisha tangu aliporejea baada ya kupona licha ya kufunga mabao manne Ligi Kuu England. Ikumbukwe Rashford alikuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom