Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

RONALDO AVUNJA REKODI YA MABAO YA FIFA

MSHAMBULIAJI Mreno, Cristiano Ronaldo jana amevunja rekodi ya mabao ya FIFA baada ya kufunga hat-trick akiiwezesha Manchester United kushinda 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 sasa amefikisha mabao 807, akimpiku Josef Bican, aliyekuwa anashikilia rekodi hiyo.

Ronaldo alifunga mabao yake dakika za 12, 38 na 81, wakati mabao ya Spurs yalifungwa na Harry Kane kwa penalti dakika ya 35 na Harry Maguire aliyejifunga dakika ya 72.

Ushindi huo unaifanya Man United ifikishe pointi 50 katika mchezo wa 29 na kurejea nafasi ya nne, ikiizidi pointi mbili Arsenal, ambayo hata hivyo ina mechi nne mkononi, wakati Spurs inabaki na pointi zake 45 za mechi 27 sasa nafasi ya saba.

[QUOTE="Amir, post: 1236, member: 20"] [HEADING=2]RONALDO AVUNJA REKODI YA MABAO YA FIFA[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhKhB4S8BHvoPDuepPpByIXLdOTX6-OwmDMiD6V5fggX8bMP1jhZ28r5cYidEpl32DVuXuWA2pamt8mX3rVQpN6twMQfB5mqvp5TrRFOaIjeT3Rbl9ZgOcS6jyAiZwTBMEd7-_ioKtaLOD04P875vrPW0AWz1leTykxqivAEM7TN-IgjxQhNT1rEwBR=w640-h434[/IMG] MSHAMBULIAJI Mreno, Cristiano Ronaldo jana amevunja rekodi ya mabao ya FIFA baada ya kufunga hat-trick akiiwezesha Manchester United kushinda 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 sasa amefikisha mabao 807, akimpiku Josef Bican, aliyekuwa anashikilia rekodi hiyo. Ronaldo alifunga mabao yake dakika za 12, 38 na 81, wakati mabao ya Spurs yalifungwa na Harry Kane kwa penalti dakika ya 35 na Harry Maguire aliyejifunga dakika ya 72. Ushindi huo unaifanya Man United ifikishe pointi 50 katika mchezo wa 29 na kurejea nafasi ya nne, ikiizidi pointi mbili Arsenal, ambayo hata hivyo ina mechi nne mkononi, wakati Spurs inabaki na pointi zake 45 za mechi 27 sasa nafasi ya saba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom