Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN UNITED YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA

WENYEJI, Manchester United wamechapwa 1-0 na Atlético Madrid, bao pekee la Renan Lodi katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester, England.

Kwa matokeo hayo, Atlético Madrid inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Hispania.

Nayo Benfica imewachapa wenyeji wengine, Ajax 1-0 bao pekee la Darwin Núñez Ribeiro Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam, Uholanzi hivyo kwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza Ureno.

Timu nyingine zilizokwenda Robo Fainali ni Manchester City ya England iliyoitoa Sporting Lisbon ya Ureno, Real Madrid ya Hispania iliyoitoa PSG ya Ufaransa, Bayern Munich ya Ujerumani iliyoitoa Salzburg ya Austria, Liverpool ya England iliyoitoa Inter Milan ya Italia.

Mechi za mwisho zinachezwa leo, Chelsea walioshinda 2-0 mechi ya kwanza nyumbani England watakuwa wageni wa Lille Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy Jijini Villeneuve d'Ascq na Juventus baada ya sare ya 1-1 ugenini Hispania leo watakuwa wenyeji wa Juventus Uwanja wa Allianz Jijini Torino, Italia.

[QUOTE="Amir, post: 1258, member: 20"] [HEADING=2]MAN UNITED YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgI3y2RXl4_e4AMxv78VFbL3VZq4oBLgqqyVv5TH1Bc46VEuhn0-wlJpvDH_LoKcTYNg5hFOFutmwhj5ZLsJ7grjPHbsq1K3RtROklOMp-k2tcRGRQNn_K7ePHB-a5ufI-I_kmMZX9xkzI5i9KFrnbIgIhqBLdxyaW4j56nvYIRQxbcoFZIqh2IFLF7=s320[/IMG] WENYEJI, Manchester United wamechapwa 1-0 na Atlético Madrid, bao pekee la Renan Lodi katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester, England. Kwa matokeo hayo, Atlético Madrid inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Hispania. Nayo Benfica imewachapa wenyeji wengine, Ajax 1-0 bao pekee la Darwin Núñez Ribeiro Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam, Uholanzi hivyo kwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza Ureno. Timu nyingine zilizokwenda Robo Fainali ni Manchester City ya England iliyoitoa Sporting Lisbon ya Ureno, Real Madrid ya Hispania iliyoitoa PSG ya Ufaransa, Bayern Munich ya Ujerumani iliyoitoa Salzburg ya Austria, Liverpool ya England iliyoitoa Inter Milan ya Italia. Mechi za mwisho zinachezwa leo, Chelsea walioshinda 2-0 mechi ya kwanza nyumbani England watakuwa wageni wa Lille Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy Jijini Villeneuve d'Ascq na Juventus baada ya sare ya 1-1 ugenini Hispania leo watakuwa wenyeji wa Juventus Uwanja wa Allianz Jijini Torino, Italia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom