Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ronaldo Amjibu Rooney Amuambia Aache Wivu ni Baada ya Sakata la Kumuita Mzee

Cristiano Ronaldo akishangilia moja ya magoli yake akiwa na Manchester United

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Cristiano Ronaldo amemjia juu Gwiji wa Manchester United na mchezaji mwenzake wa zamani Wayne Rooney akimuambia aache kumuonea wivu.

Hivi karibuni Wayne Rooney alinukuliwa akisema Manchester United haikustahili kumsajili Cristiano Ronaldo na Ronaldo pia hakusatahili kurudi Manchester United kutokana na kwamba Klabu hiyo sasa inatakiwa iwekeze kwa vijana kama kina Jadon Sancho na Marcus Rashford.

Gwiji wa Manchester United Wayne Rooney

Rooney aliendelea kusema kuwa Ronaldo wa sasa si wa zamani japo amejitahidi kufunga mabao muhimu kwa Manchester United mwanzoni mwa msimu lakini kwa maana ya uwekezaji wa miaka miwili au mitatu mbele Ronaldo hawezi kutegemewa.

Kwa upande wake Ronaldo amemjibu kwa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram akisema “Una wivu sana.”

[QUOTE="Amir, post: 1375, member: 20"] [HEADING=1]Ronaldo Amjibu Rooney Amuambia Aache Wivu ni Baada ya Sakata la Kumuita Mzee[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/RONALDO-2.jpg[/IMG] [I][B] Cristiano Ronaldo akishangilia moja ya magoli yake akiwa na Manchester United[/B][/I] MSHAMBULIAJI wa Manchester United Cristiano Ronaldo amemjia juu Gwiji wa Manchester United na mchezaji mwenzake wa zamani Wayne Rooney akimuambia aache kumuonea wivu. Hivi karibuni Wayne Rooney alinukuliwa akisema Manchester United haikustahili kumsajili Cristiano Ronaldo na Ronaldo pia hakusatahili kurudi Manchester United kutokana na kwamba Klabu hiyo sasa inatakiwa iwekeze kwa vijana kama kina Jadon Sancho na Marcus Rashford. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/ROONEY.jpg[/IMG] [I][B] Gwiji wa Manchester United Wayne Rooney[/B][/I] Rooney aliendelea kusema kuwa Ronaldo wa sasa si wa zamani japo amejitahidi kufunga mabao muhimu kwa Manchester United mwanzoni mwa msimu lakini kwa maana ya uwekezaji wa miaka miwili au mitatu mbele Ronaldo hawezi kutegemewa. Kwa upande wake Ronaldo amemjibu kwa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram akisema “Una wivu sana.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom