Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

RONALDO APIGA HAT TRICK MAN UNITED YASHINDA 3-2

WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Norwich City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.

Mabao yote ya Man United leo yamefungwa na mshambuliaji Mreno, Cristiano Ronaldo dakika ya saba, 32 na 76, hiyo ikiwa hat trick yake ya 50 kihistoria, wakati ya Norwich yamefungwa na Kieran Dowell dakika ya 45 na ushei na Teemu Pukki dakika ya 52.

Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 32 na kupanda nafasi ya tano, wakati Norwich inabaki na pointi zake 21 baada ya kucheza mechi 31 pia na kuendelea kushika mkia.

[QUOTE="Amir, post: 1423, member: 20"] [HEADING=2]RONALDO APIGA HAT TRICK MAN UNITED YASHINDA 3-2[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuM2fBhpqMRm6qKOVF4aKQYoRhVzVwNER-upZUxILxBjdrMbsoZqlUY70yikWaa_oa3LIS1YVMBqsCKBPzDi7roXlt8Jg9KavNeDLmQxiUmnw4i_JOT9YXppB4pnbFM6Hyg6nIwd1akX38e89grEvgIyMOFXx2DJPuC-5xgVwnkIW_eihzS0GHb0P9/s962/27985E44-00BA-41B6-9D0A-24AB508C0489.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuM2fBhpqMRm6qKOVF4aKQYoRhVzVwNER-upZUxILxBjdrMbsoZqlUY70yikWaa_oa3LIS1YVMBqsCKBPzDi7roXlt8Jg9KavNeDLmQxiUmnw4i_JOT9YXppB4pnbFM6Hyg6nIwd1akX38e89grEvgIyMOFXx2DJPuC-5xgVwnkIW_eihzS0GHb0P9/w640-h428/27985E44-00BA-41B6-9D0A-24AB508C0489.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Norwich City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Mabao yote ya Man United leo yamefungwa na mshambuliaji Mreno, Cristiano Ronaldo dakika ya saba, 32 na 76, hiyo ikiwa hat trick yake ya 50 kihistoria, wakati ya Norwich yamefungwa na Kieran Dowell dakika ya 45 na ushei na Teemu Pukki dakika ya 52. Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 32 na kupanda nafasi ya tano, wakati Norwich inabaki na pointi zake 21 baada ya kucheza mechi 31 pia na kuendelea kushika mkia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom