Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ERIK TEN HAG KOCHA MPYA MAN UNITED

KLABU ya Manchester United imemuajiri Erik ten Hag kama kocha wake Mkuu mpya wa tano ndani ya miaka tisa, Mholanzi atajiunga na Mashetani Wekundu baada ya kumaliza majukumu yake Ajax mwishoni mwa msimu.

Ten Hag amesaini mkataba wa hadi 2025 jukumu lake kubwa likiwa ni kurejesha mafanikio yaliyopotea United tangu kustaafu kwa Alex Ferguson mwaka 2013 wakati ambao klabu ilishinda mataji yake ya mwisho ya rekodi England, 20.

United imeongozwa na makocha wawili wa muda- Michael Carrick na Mjerumani wa sasa, Ralf Rangnick – tangu kuondoka kwa Ole Gunnar Solskjaer aliyefukuzwa Novemba.

Ten Hag anakabiliwa na kibaruwa kigumu cha kuiumba upya United iwe tishio, baada ya kuachwa mbali na wapinzani, Manchester City na Liverpool licha ya klabu hiyo kuendelea kutumia fedha nyingi kusajili wachezaji.

[QUOTE="mhariri, post: 1433, member: 122"] [HEADING=2]ERIK TEN HAG KOCHA MPYA MAN UNITED[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj2PNj7DS3b9vf0m_384gC5XKt78LXmyk5jafoCVLslCwrPkN8dxCevWkmYg2_ABBWIGwjCkZtvE4bRkXdmMpeObbby-NFxjwAmtTKqBmhjf-TduqK9bdWILTLmK_PI8nUXb0XWkMRgpQCFAIbfJ_67TaJoD2QeJaZNC8re_DthYbkeVJrkvphTAvfU/s634/56653227-10722139-image-a-177_1650032412456.jpg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj2PNj7DS3b9vf0m_384gC5XKt78LXmyk5jafoCVLslCwrPkN8dxCevWkmYg2_ABBWIGwjCkZtvE4bRkXdmMpeObbby-NFxjwAmtTKqBmhjf-TduqK9bdWILTLmK_PI8nUXb0XWkMRgpQCFAIbfJ_67TaJoD2QeJaZNC8re_DthYbkeVJrkvphTAvfU/w640-h428/56653227-10722139-image-a-177_1650032412456.jpg[/IMG][/URL] KLABU ya Manchester United imemuajiri Erik ten Hag kama kocha wake Mkuu mpya wa tano ndani ya miaka tisa, Mholanzi atajiunga na Mashetani Wekundu baada ya kumaliza majukumu yake Ajax mwishoni mwa msimu. Ten Hag amesaini mkataba wa hadi 2025 jukumu lake kubwa likiwa ni kurejesha mafanikio yaliyopotea United tangu kustaafu kwa Alex Ferguson mwaka 2013 wakati ambao klabu ilishinda mataji yake ya mwisho ya rekodi England, 20. United imeongozwa na makocha wawili wa muda- Michael Carrick na Mjerumani wa sasa, Ralf Rangnick – tangu kuondoka kwa Ole Gunnar Solskjaer aliyefukuzwa Novemba. Ten Hag anakabiliwa na kibaruwa kigumu cha kuiumba upya United iwe tishio, baada ya kuachwa mbali na wapinzani, Manchester City na Liverpool licha ya klabu hiyo kuendelea kutumia fedha nyingi kusajili wachezaji. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom