Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kama ulidhani kila mtu anaona umuhimu wa Cristiano Ronaldo ndani ya Manchester Utd, umekwama

Mambo yapo tofauti kwa Mchambuzi wa Sky Sport Paul Merson ambaye amesema anaamini Edinson Cavani anapaswa kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo

"Kwa upande wa timu ya [Manchester United], ninaamini sana Cristiano Ronaldo anafaa kuachwa"

"Najua haiwezi kutokea, lakini Edinson Cavani anapaswa kuchukua nafasi yake mbele akiwa na Jadon Sancho, Marcus Rashford pamoja na Mason Greenwood"

"Kuna kitu hakiko sawa hapo. Nadhani kuna mengi yanayoendelea nyuma ya pazia na haionekani kuwa nzuri kwao"

"Sidhani kama wanaweza kumaliza Ligi wakiwa ndani ya Top Four"

Unakubaliana na kauli za Mchambuzi?

[ATTACH=full]140[/ATTACH]

[QUOTE="vuligate, post: 253, member: 123"] Kama ulidhani kila mtu anaona umuhimu wa Cristiano Ronaldo ndani ya Manchester Utd, umekwama Mambo yapo tofauti kwa Mchambuzi wa Sky Sport Paul Merson ambaye amesema anaamini Edinson Cavani anapaswa kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo "Kwa upande wa timu ya [Manchester United], ninaamini sana Cristiano Ronaldo anafaa kuachwa" "Najua haiwezi kutokea, lakini Edinson Cavani anapaswa kuchukua nafasi yake mbele akiwa na Jadon Sancho, Marcus Rashford pamoja na Mason Greenwood" "Kuna kitu hakiko sawa hapo. Nadhani kuna mengi yanayoendelea nyuma ya pazia na haionekani kuwa nzuri kwao" "Sidhani kama wanaweza kumaliza Ligi wakiwa ndani ya Top Four" Unakubaliana na kauli za Mchambuzi? [ATTACH type="full"]140[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom