Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BRUNO APIGA MBILI LAKINI MAN U YADROO

[ATTACH=full]318[/ATTACH]

WENYEJI, Aston Villa usiku jana wamelazimishwa sare ya 2-2 na Manchester United Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham.

Mabao ya Man United yalifungwa na Bruno Fernandes yote dakika ya sita na 67, wakati ya Aston Villa yalifungwa na Jacob Ramsey dakika ya 77 na mchezaji mpyam Philippe Coutinho dakika ya 81.

United wanafikisha pointi 32 katika mchezo wa 20 sasa wakiwa nafasi ya saba, wakati Villa inatimiza pointi 23 mechi 20 pia nafasi ya 13.

[QUOTE="Amir, post: 404, member: 20"] [HEADING=2]BRUNO APIGA MBILI LAKINI MAN U YADROO[/HEADING] [ATTACH type="full"]318[/ATTACH] WENYEJI, Aston Villa usiku jana wamelazimishwa sare ya 2-2 na Manchester United Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham. Mabao ya Man United yalifungwa na Bruno Fernandes yote dakika ya sita na 67, wakati ya Aston Villa yalifungwa na Jacob Ramsey dakika ya 77 na mchezaji mpyam Philippe Coutinho dakika ya 81. United wanafikisha pointi 32 katika mchezo wa 20 sasa wakiwa nafasi ya saba, wakati Villa inatimiza pointi 23 mechi 20 pia nafasi ya 13. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom