Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN UNITED YAWACHAPA BRENTFORD 3-1 MIDDLESEX.

TIMU ya Manchester United imewazima wenyeji, Brentford kwa kuwachapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Brentford Community mjini Brentford, Middlesex.

Mabao ya Man United yamefungwa na Anthony Elanga dakika ya 55, Mason Greenwood dakika ya 62 na Marcus Rashford dakika ya 77 akimaliza ukame wa mabao uliomuandama kwa muda mrefu, wakati bao pekee la Brentford limefungwa na Ivan Toney dakika ya 85.

Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 35 katika mchezo wa 21, ingawa inabaki nafasi ya saba ikizidiwa wastani wa mabao tu na Arsenal ambayo pia mechi moja mkononi, wakati Brentford inabaki na pointi zake 23 za mechi 22 katika nafasi ya 14.

[QUOTE="Amir, post: 455, member: 20"] [HEADING=2]MAN UNITED YAWACHAPA BRENTFORD 3-1 MIDDLESEX.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgMjMOXgTWzOqNIO2WFcr0zMARMHCBARuV8GYjySS2CZ6FaVd7b1pIMHNpcj3VVr-_Q1b7C2in7K3GIWOOtVPJKssZSTSOH4o8KYcILH5amvnc1UAXjRFFBfWrHZepSYuyRertTUm1Ky59-btn-CykaAvc-9rxq8wXtHVyKfTvJTeMHphRwz6BmlGZr=w640-h418[/IMG] TIMU ya Manchester United imewazima wenyeji, Brentford kwa kuwachapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Brentford Community mjini Brentford, Middlesex. Mabao ya Man United yamefungwa na Anthony Elanga dakika ya 55, Mason Greenwood dakika ya 62 na Marcus Rashford dakika ya 77 akimaliza ukame wa mabao uliomuandama kwa muda mrefu, wakati bao pekee la Brentford limefungwa na Ivan Toney dakika ya 85. Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 35 katika mchezo wa 21, ingawa inabaki nafasi ya saba ikizidiwa wastani wa mabao tu na Arsenal ambayo pia mechi moja mkononi, wakati Brentford inabaki na pointi zake 23 za mechi 22 katika nafasi ya 14. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom