Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BURNLEY YAIONDOA MAN UNITED ‘TOP FOUR’

TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya 1-1 na wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley.

Kiungo Mfaransa, Paul Pogba alianza kuifungia Man United dakika ya 18, kabla ya mshambuliaji wa England, Jay Rodriguez kuisawazishia Burnley dakika ya 47.

Kwa matokeo hayo, Man United inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 23 na kuteremka kwa nafasi moja hadi ya tano, wakati Burnley inayofikisha pointi 14 katika mchezo wa 20 inaendelea kushika mkia.

[QUOTE="Amir, post: 799, member: 20"] [HEADING=2]BURNLEY YAIONDOA MAN UNITED ‘TOP FOUR’[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiwIAEGFpyeEKf-zcyPEYG16opcHYUht2LJkMEuGeJOWxAlpa82wq9K-1k6c_U2LqLkunz7zgmZguzyJbTD086N1RHbBTAldsWQvaUlTJZlQdq5EQ8vTHucT4Tc2VaPvzWMgFivI0ADFiOszTIo5MgIw5_BqYXNk62VtAVurizyqrmpRfRLQL_OVBAP=w640-h438[/IMG] TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya 1-1 na wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley. Kiungo Mfaransa, Paul Pogba alianza kuifungia Man United dakika ya 18, kabla ya mshambuliaji wa England, Jay Rodriguez kuisawazishia Burnley dakika ya 47. Kwa matokeo hayo, Man United inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 23 na kuteremka kwa nafasi moja hadi ya tano, wakati Burnley inayofikisha pointi 14 katika mchezo wa 20 inaendelea kushika mkia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom