Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

De Gea: Ninahisi Man U Tumerogwa.

Kipa David De Gea sasa anadai kuwa klabu yake ya Mancheseter United huenda imerogwa. Man United imekuwa katika mahangaiko tangu kocha matata Sir Alex Ferguson kustaafu mwaka 2013 na mara ya mwisho kushinda taji lolote ni 2017.

Klabu hiyo ilitarajiwa kupigania taji la EPL msimu huu lakini sasa hata kumaliza katika bano la nne bora inaonekana kuwa mtihani mgumu. Mlinda lango David De Gea sasa anadai kuwa huenda Manchester United ililaaniwa, klabu hiyo inapoendelea kupitia mahangaiko msimu huu.

Ndoto ya Man United kuokoa msimu wao huenda isitimie klabu hiyo sasa ikipeleka nguvu zake kujihakikishia nafasi ya nne bora katika Ligi Kuu ya Uingereza, lakini hilo pia kwa sasa linaonekana kuwa mtihani mgumu.

Klabu hiyo ilianza msimu ikiwa na matumaini ya kupigania taji la EPL, lakini imedhihirika wazi kuwa United huenda wakamaliza msimu mwingine bila kushinda taji lolote na De Gea anasema huenda wamerogwa.

“Ninadhani mtu alituroga. Ukweli ni kwamba sielewe kinachoendelea, sielewi kabisa,” De Gea alisema katika mahojiano na gazeti moja la Uhispania la El Pais.

[QUOTE="Amir, post: 897, member: 20"] [HEADING=1]De Gea: Ninahisi Man U Tumerogwa.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/de-gea.jpg[/IMG] Kipa David De Gea sasa anadai kuwa klabu yake ya Mancheseter United huenda imerogwa. Man United imekuwa katika mahangaiko tangu kocha matata Sir Alex Ferguson kustaafu mwaka 2013 na mara ya mwisho kushinda taji lolote ni 2017. Klabu hiyo ilitarajiwa kupigania taji la EPL msimu huu lakini sasa hata kumaliza katika bano la nne bora inaonekana kuwa mtihani mgumu. Mlinda lango David De Gea sasa anadai kuwa huenda Manchester United ililaaniwa, klabu hiyo inapoendelea kupitia mahangaiko msimu huu. Ndoto ya Man United kuokoa msimu wao huenda isitimie klabu hiyo sasa ikipeleka nguvu zake kujihakikishia nafasi ya nne bora katika Ligi Kuu ya Uingereza, lakini hilo pia kwa sasa linaonekana kuwa mtihani mgumu. Klabu hiyo ilianza msimu ikiwa na matumaini ya kupigania taji la EPL, lakini imedhihirika wazi kuwa United huenda wakamaliza msimu mwingine bila kushinda taji lolote na De Gea anasema huenda wamerogwa. “Ninadhani mtu alituroga. Ukweli ni kwamba sielewe kinachoendelea, sielewi kabisa,” De Gea alisema katika mahojiano na gazeti moja la Uhispania la El Pais. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Manchester United
Top
Bottom