Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

NI SIMBA NA AZAM FAINALI MAPINDUZI ALHAMISI.

[ATTACH=full]252[/ATTACH]

MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Namungo FC usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 15 na winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 50 na sasa watakutana na Azam FC waliowatoa mabingwa watetezi, Yanga SC kwa penalti 9-8 kufuatia sare ya 0-0 leo hapo hapo Amaan. Fainali itachezwa Alhamisi Saa 2:15 usiku.

[QUOTE="mhariri, post: 347, member: 122"] [HEADING=2]NI SIMBA NA AZAM FAINALI MAPINDUZI ALHAMISI.[/HEADING] [ATTACH type="full"]252[/ATTACH] MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Namungo FC usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda, mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 15 na winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 50 na sasa watakutana na Azam FC waliowatoa mabingwa watetezi, Yanga SC kwa penalti 9-8 kufuatia sare ya 0-0 leo hapo hapo Amaan. Fainali itachezwa Alhamisi Saa 2:15 usiku. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
Top
Bottom