Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Azam safari hii haitaki matuta, yapiga kikao kizito

[ATTACH=full]284[/ATTACH]

UNGUJA. Bosi wa Azam FC ambaye ni Afisa Mtendaji mkuu Abdulkarim Amin 'Popat' amewataka wachezaji wake kumaliza mechi ya fainali na Simba mapema bila kusubiri kupigiana penalti.

Azam kesho Alhamisi Januari 13 inawakaribisha Simba katika fainali za Kombe la Mapinduzi zitakazofanyika kuanzia saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan kisiwani hapa.

Popat amesema kuwa mechi hiyo itakuwa ngumu kwa pande zote mbili lakini amekaa na wachezaji wao pamoja na benchi la ufundi kuona namna gani watamaliza mechi hiyo bila kufika hatua ya penalti kama ilivyokuwa mechi yao ya nusu fainali dhidi ya Yanga huku wao wakisonga mbele kwa matuta 9-8.

Amesema kuwa kama viongozi wamemaliza kazi yao kilichobaki ni upande wa benchi la ufundi kuona nani atafaa kesho avae jezi kuwania ubingwa wenye thamani ya Sh 25 milioni huku wachezaji nao wakipewa jukumu la kupambana uwanjani.

"Sitaki hata kusikia mambo ya penalti hata zile zilizopigwa na kupigiwa wakati wa nusu fainali sikuiona hata moja ikipigwa nilikuwa naangalia chini hivyo tumekaa nao na kuwaambia fainali tusifike kwenye matuta naamini tutaimaliza mechi mapema tu kwenye muda wa dakika 90," amesema Popat

Mshindi wa pili atajinyakulia Sh 20 milioni kutoka kwa waandaaji wa Kombe la Mapinduzi na hii ni mara yao ya tatu kwa timu hizo kukutana fainali, mara mbili Azam imemfunga Simba.

[QUOTE="Amir, post: 376, member: 20"] [HEADING=1]Azam safari hii haitaki matuta, yapiga kikao kizito[/HEADING] [ATTACH type="full"]284[/ATTACH] [B]UNGUJA[/B]. Bosi wa Azam FC ambaye ni Afisa Mtendaji mkuu Abdulkarim Amin 'Popat' amewataka wachezaji wake kumaliza mechi ya fainali na Simba mapema bila kusubiri kupigiana penalti. Azam kesho Alhamisi Januari 13 inawakaribisha Simba katika fainali za Kombe la Mapinduzi zitakazofanyika kuanzia saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan kisiwani hapa. Popat amesema kuwa mechi hiyo itakuwa ngumu kwa pande zote mbili lakini amekaa na wachezaji wao pamoja na benchi la ufundi kuona namna gani watamaliza mechi hiyo bila kufika hatua ya penalti kama ilivyokuwa mechi yao ya nusu fainali dhidi ya Yanga huku wao wakisonga mbele kwa matuta 9-8. Amesema kuwa kama viongozi wamemaliza kazi yao kilichobaki ni upande wa benchi la ufundi kuona nani atafaa kesho avae jezi kuwania ubingwa wenye thamani ya Sh 25 milioni huku wachezaji nao wakipewa jukumu la kupambana uwanjani. "Sitaki hata kusikia mambo ya penalti hata zile zilizopigwa na kupigiwa wakati wa nusu fainali sikuiona hata moja ikipigwa nilikuwa naangalia chini hivyo tumekaa nao na kuwaambia fainali tusifike kwenye matuta naamini tutaimaliza mechi mapema tu kwenye muda wa dakika 90," amesema Popat Mshindi wa pili atajinyakulia Sh 20 milioni kutoka kwa waandaaji wa Kombe la Mapinduzi na hii ni mara yao ya tatu kwa timu hizo kukutana fainali, mara mbili Azam imemfunga Simba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
Top
Bottom