Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Alikiba kutumbuiza Fainali Mapinduzi Cup.

[ATTACH=full]285[/ATTACH]

UNGUJA. Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba kesho Alhamisi anatarajiwa kutumbuiza kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi zitakazoanza saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan kisiwani hapa.

Fainali hiyo inazikutanisha Azam FC na Simba baada ya kushinda michezo yao ya nusu fainali ambapo Azam iliitoa Yanga kwa penalti 9-8 wakati Simba iliifunga Namungo FC bao 2-0.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindani hayo Imane Osmond Duwe kuwa mbali na Alikiba pia kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka vikundi vya sanaa kisiwani hapa.

"Kutakuwa na burudani mbalimbali kwenye fainali hizo hizo lakini kubwa ni Alikiba msanii mkubwa kutoka Bara. Ni fainali za aina yake msimu huu na yamekuwa na ushindani mkubwa tangu yalipoanza," amesema Imane.

[QUOTE="Amir, post: 377, member: 20"] [HEADING=1]Alikiba kutumbuiza Fainali Mapinduzi Cup.[/HEADING] [ATTACH type="full"]285[/ATTACH] [B] UNGUJA. [/B]Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba kesho Alhamisi anatarajiwa kutumbuiza kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi zitakazoanza saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan kisiwani hapa. Fainali hiyo inazikutanisha Azam FC na Simba baada ya kushinda michezo yao ya nusu fainali ambapo Azam iliitoa Yanga kwa penalti 9-8 wakati Simba iliifunga Namungo FC bao 2-0. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindani hayo Imane Osmond Duwe kuwa mbali na Alikiba pia kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka vikundi vya sanaa kisiwani hapa. "Kutakuwa na burudani mbalimbali kwenye fainali hizo hizo lakini kubwa ni Alikiba msanii mkubwa kutoka Bara. Ni fainali za aina yake msimu huu na yamekuwa na ushindani mkubwa tangu yalipoanza," amesema Imane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
Top
Bottom