Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba kucheza fainali mbele ya Rais Mwinyi.

[ATTACH=full]286[/ATTACH]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ndiye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi itakayozikutanisha Azam na Simba kesho kuanzia saa 2.15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan.

Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano hayo Imane Osmond Duwe amesema kuwa kutokana na ukubwa na umuhimu wa mashindano hayo Rais ndiye atakayeyafunga.

Amesema kuwa utaratibu mzima kesho utabadilika ambapo Rais huyo atakuja na wageni wake kushuhudia fainali hiyo ambayo inazikutanisha timu hizo ikiwa zinakutana kwa mara ya tatu huku mara mbili Simba ikifungwa na Azam FC.

Moja ya mabadiliko hayo ni katika uuzwaji wa tiketi za mechi ambapo sasa kutakuwa na tiketi 50 pekee za VVIP huku zingine zitabaki kuwa Sh 3000, 5000 na 10000.

"Hao 50 ndiyo watakaoingia kupitia pale VIP lakini wengine wote watapewa utaratibu maalumu wa kuingia ila tunawaomba mashabiki wafike mapema kuepuka msongamano.

"Rais wetu Hussein Mwinyi ndiye atatufungia mashindano hayo ambapo atakuwa na wageni wake wa kiserikali wakiwemo makamu wake. Viingilio vilivyobadilika ni tiketi za VVIP ambazo ni maalumu kwa baadhi ya watu," amesema Imane

[QUOTE="Amir, post: 378, member: 20"] [HEADING=1]Simba kucheza fainali mbele ya Rais Mwinyi.[/HEADING] [ATTACH type="full"]286[/ATTACH] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ndiye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi itakayozikutanisha Azam na Simba kesho kuanzia saa 2.15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan. Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano hayo Imane Osmond Duwe amesema kuwa kutokana na ukubwa na umuhimu wa mashindano hayo Rais ndiye atakayeyafunga. Amesema kuwa utaratibu mzima kesho utabadilika ambapo Rais huyo atakuja na wageni wake kushuhudia fainali hiyo ambayo inazikutanisha timu hizo ikiwa zinakutana kwa mara ya tatu huku mara mbili Simba ikifungwa na Azam FC. Moja ya mabadiliko hayo ni katika uuzwaji wa tiketi za mechi ambapo sasa kutakuwa na tiketi 50 pekee za VVIP huku zingine zitabaki kuwa Sh 3000, 5000 na 10000. "Hao 50 ndiyo watakaoingia kupitia pale VIP lakini wengine wote watapewa utaratibu maalumu wa kuingia ila tunawaomba mashabiki wafike mapema kuepuka msongamano. "Rais wetu Hussein Mwinyi ndiye atatufungia mashindano hayo ambapo atakuwa na wageni wake wa kiserikali wakiwemo makamu wake. Viingilio vilivyobadilika ni tiketi za VVIP ambazo ni maalumu kwa baadhi ya watu," amesema Imane [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
Top
Bottom