Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC MABINGWA KOMBE LA MAPINDUZI 2022

[ATTACH=full]295[/ATTACH]

BAO la penalti la mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddi Kagere limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika Fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Kagere alifunga bao hilo dakika ya 56 baada ya winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho kugongana na kipa Mganda wa Azam FC, Mathias Kigonya na hilo linakuwa taji la nne la Mapinduzi kwa Simba baada ya awali kulibeba mwaka 2008, 2011 na 2015.

Baada ya mchezo, beki Mkongo, Hennock Inonga Baka ‘Varane’ alichaguliwa Mchezaji Bora wa Mechi, wakati winga Sakho alichaguliwa Mchezaji Bora wa Mashindano, Aishi Manula Kipa Bora na Kagere Mfungaji Bora huku chipukizi Tepsi Evance wa Azam FC alipewa Tuzo ya Mchezo wa Kiungwana.

Aishi, Baka, Kagere na Sakho kila mmoja alipewa Sh. Milioni 2, wakati Tepsi alipewa Sh. 300,000.

[ATTACH=full]296[/ATTACH]

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi alimkabidhi Nahodha wa Simba Kombe na mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 25, wakati Azam FC walipewa Sh. Milioni 15.

[ATTACH=full]297[/ATTACH]

[ATTACH=full]298[/ATTACH]

[ATTACH=full]299[/ATTACH]

[QUOTE="Amir, post: 387, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC MABINGWA KOMBE LA MAPINDUZI 2022[/HEADING] [ATTACH type="full"]295[/ATTACH] BAO la penalti la mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddi Kagere limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika Fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kagere alifunga bao hilo dakika ya 56 baada ya winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho kugongana na kipa Mganda wa Azam FC, Mathias Kigonya na hilo linakuwa taji la nne la Mapinduzi kwa Simba baada ya awali kulibeba mwaka 2008, 2011 na 2015. Baada ya mchezo, beki Mkongo, Hennock Inonga Baka ‘Varane’ alichaguliwa Mchezaji Bora wa Mechi, wakati winga Sakho alichaguliwa Mchezaji Bora wa Mashindano, Aishi Manula Kipa Bora na Kagere Mfungaji Bora huku chipukizi Tepsi Evance wa Azam FC alipewa Tuzo ya Mchezo wa Kiungwana. Aishi, Baka, Kagere na Sakho kila mmoja alipewa Sh. Milioni 2, wakati Tepsi alipewa Sh. 300,000. [ATTACH type="full"]296[/ATTACH] Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi alimkabidhi Nahodha wa Simba Kombe na mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 25, wakati Azam FC walipewa Sh. Milioni 15. [ATTACH type="full"]297[/ATTACH] [ATTACH type="full"]298[/ATTACH] [ATTACH type="full"]299[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MAPINDUZI CUP 2022.
Top
Bottom