MAPUMZIKO, BRAZIL DHIDI YA CROATIA, BADO MILANGO NI MIGUMU.

Capitano

Mgeni
Nov 8, 2022
10
29
5
Kipindi cha kwanza cha kuburudisha kabisa, nafasi ni chache sana zilizotengenezwa na timu zote mbili.

Brazil kama wanataka kubadilisha matokeo kwenye second half wafanye mabadiliko ya mfumo kwa kutumia zaidi pembeni, maana katikati Croatia wako imara sana, chini ya Marcelo Blozovic, Mateo Kovacic na Luca Modric au Tite amtoe Rafinha, kuingiza mtu ambaye anaweza kuingia ndani na mpira akitokea pembeni, maana Rafinha ameshindwa hilo.

Croatia wawe sharp wakati wamepora mpira, na wakifanya hivyo kwa kuwatumia Perisic na Pasalic watabadilisha matokeo haya haraka sana.

Tuone kipindi cha pili.
 
  • Like
Reactions: Brenda