Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
MAPUMZIKO, BRAZIL DHIDI YA CROATIA, BADO MILANGO NI MIGUMU.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kipindi cha kwanza cha kuburudisha kabisa, nafasi ni chache sana zilizotengenezwa na timu zote mbili.

Brazil kama wanataka kubadilisha matokeo kwenye second half wafanye mabadiliko ya mfumo kwa kutumia zaidi pembeni, maana katikati Croatia wako imara sana, chini ya Marcelo Blozovic, Mateo Kovacic na Luca Modric au Tite amtoe Rafinha, kuingiza mtu ambaye anaweza kuingia ndani na mpira akitokea pembeni, maana Rafinha ameshindwa hilo.

Croatia wawe sharp wakati wamepora mpira, na wakifanya hivyo kwa kuwatumia Perisic na Pasalic watabadilisha matokeo haya haraka sana.

Tuone kipindi cha pili.

[QUOTE="Capitano, post: 2081, member: 477"] Kipindi cha kwanza cha kuburudisha kabisa, nafasi ni chache sana zilizotengenezwa na timu zote mbili. Brazil kama wanataka kubadilisha matokeo kwenye second half wafanye mabadiliko ya mfumo kwa kutumia zaidi pembeni, maana katikati Croatia wako imara sana, chini ya Marcelo Blozovic, Mateo Kovacic na Luca Modric au Tite amtoe Rafinha, kuingiza mtu ambaye anaweza kuingia ndani na mpira akitokea pembeni, maana Rafinha ameshindwa hilo. Croatia wawe sharp wakati wamepora mpira, na wakifanya hivyo kwa kuwatumia Perisic na Pasalic watabadilisha matokeo haya haraka sana. Tuone kipindi cha pili. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
MAPUMZIKO, BRAZIL DHIDI YA CROATIA, BADO MILANGO NI MIGUMU.
Top
Bottom